Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Baada ya Shambulio la KITIMA , RPC Muliro akajiwahi kutoa Taarifa yenye lengo la kupotosha .
Baada ya Shambulio la Mdude, RPC Mbeya akajiwahi nayeye kutoa tamko kwamba hawajamkamata Mdude.
Sasa haya ni maneno niloyanukuu kwenye habari chunguzi za PAMBAZUKO kuhusu Shambulio la KITIMA
Imebainika kuwa kati ya miezi miwili hadi mitano iliyopita, mwanamume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 50, alipanga nyumba katika eneo karibu na makao makuu ya TEC.
Mnaweza kukumbuka, Yule Mzee wa Mbeya ambaye alitoa taarifa kuhusu Mapolisi kumfata awasaidie kumpata Mdude...... Mzee anadai Afande Shabani na wengine walimuomba aende Tukuyu huko,
watampangia Nyumba, na kumpa Pesa anayotaka.
Soma Pia: Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Hapa Hoja yangu katika Matukio yote mawili ni KUPANGA NYUMBA KARIBU NA WAHANGA
Sakata la kutekwa kwa Mdude unaweza kulisoma hapa Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
ITOSHE kusema, hakuna MTU wa kawaida awe jambazi, mwizi au kibaka, anayeweza kua na akili ya Kupanga NYUMBA Jirani na muhanga , Kwa miezi ili tu kupata taarifa zinazoweza fanikisha kusudi lake.
Mambo haya Huwa yanapangwa na watu wenye 'Taaluma za Ujasusi'. Na Kwa Tanzania Watu Hawa ni ama JESHI LA POLISI TANZANIA au USALAMA WA TAIFA au CCM GRINIGADI .
Hawa watatu wanajua anayehusika na Mauaji ,utekaji nchini Tanzania.