SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,766
.
Vilevile walisema mama ni mtu wa haki.Chief si ndio yule mlisema anapiga mwingi?
Si nyie mnasema mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5?
Bwanawe shangaa haya wewe.Acheni kulia lia!
Kwani dikteta wenu bado yupo? Si mnapumua nyie!?
Hizi mahakama si ndio mlishangilia wakati wa hukumu ya sabaya?
Tulieni!
Akiingilia mahakama napo mtasema.Vilevile walisema mama ni mtu wa haki.