kwa tuliozaliwa february 29

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Salamu wakuu

Nimekaa na kuifikiria sana hii siku yangu ya kuzaliwa naishia bila kupata majibu mujarabu!
Kwa mwaka huu mwezi wa pili ni mfupi na unasiku 28 kawaida na miaka mingine ambapo huwa na siku 29.

Sasa isue ni hapa, nasherehekea vipi siku hii ya kuzaliwa kwani kwa mwaka huu hii tarehe yetu haipo.

Note; sijawahi fanya sherehe za siku ya kuzaliwa hivyo nilitamani sana mwaka huu nami nifanye hata tafrija fupi nikate keki.
 
Haina umuhim na ulazima kusherekea birthday
We piga chini usave pesa kwa matumizi mengine
 
Mkuu we hesabu yako mpaka sasa una nusu ya miaka ulonayo yaani we kila ikifika tarehe 29 ndo usherekee kila naada ya miaka miwili we una mmoja hahaha
 
Back
Top Bottom