Kwa tukio hili, pombe sasa basi

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Nadhani ilikuwa yapata saa 6 na kitu usiku mitaa Sinza siku ya Jana.

Nakumbuka kwa mbali wadau niliokuwa nao waliniongoza kuelekea kwenye gari yangu ili niweze kuondoka eneo la tukio.

Baada ya hapo nimejikuta nimelala chumbani leo nikiwa na viatu,
Kushtuka nikakimbilia nje nikakuta gari nilipaki vizuri na geti nikafunga vizuri lakini funguo zote nikaacha kwenye mlango wa kuingia main house.

Pombe ni noma.
 
amka hapo ulipo kimbia eneo LA tukio katandike ka K Vant kadogo kavukavu (kutoa Loki) ndo uanze safari lager
 
Kama umeamua kuacha itakuwa ni jambo zuri kwako,that's a warning sign kwamba yatakukuta mabaya zaidi ya hayo...
 
Duh! Usisahau pia kwenda Hospitalini kupimwa kila kitu huwezi jua kingine kipi kilikupata, kwa kuwa hukumbuki chochote.

Pole sana, natumaini hautadhurika zaidi kisaikolojia ukijua yote uliofanyiwa!
 
Nadhani ilikuwa yapata saa 6 na kitu usiku mitaa Sinza siku ya Jana.

Nakumbuka kwa mbali wadau niliokuwa nao waliniongoza kuelekea kwenye gari yangu ili niweze kuondoka eneo la tukio.

Baada ya hapo nimejikuta nimelala chumbani leo nikiwa na viatu,
Kushtuka nikakimbilia nje nikakuta gari nilipaki vizuri na geti nikafunga vizuri lakini funguo zote nikaacha kwenye mlango wa kuingia main house.

Pombe ni noma.

😂😂😂😂..Hhahahahaa..acha woga ww...!tulienda harusini na rafiki yangu..kifupi tulijikuta asbh tumelala nje ya geti kwenye gari inaunguruma😂😂😂😂😂..raha mnooo
 
Huyu jamaa anazinguwa yani hvyo tu ndo uache pombe kweli? Nakumbuka kuna siku nilikunywa Grants ile minzinga mikubwa toka hasubui napiga mdogo mdogo mdogo nikiwa baha moja hv kuja kupambazuka nilijikuta kwenye chumba cha mama mwenye nyumba.
ikawaje?
 
Nadhani ilikuwa yapata saa 6 na kitu usiku mitaa Sinza siku ya Jana.

Nakumbuka kwa mbali wadau niliokuwa nao waliniongoza kuelekea kwenye gari yangu ili niweze kuondoka eneo la tukio.

Baada ya hapo nimejikuta nimelala chumbani leo nikiwa na viatu,
Kushtuka nikakimbilia nje nikakuta gari nilipaki vizuri na geti nikafunga vizuri lakini funguo zote nikaacha kwenye mlango wa kuingia main house.

Pombe ni noma.
Sasa hapo pombe inahusikaje? Wakati wewe ndiyo tatizo?
 
Back
Top Bottom