boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 5,793
- 4,214
Tanzania inaongoza kwa kua na sheria kandamizi dhidi ya wananchi wake
😁😁Hawajui wakti na yeye nibwale wale wazee wa kitengo anatuchora tu humu
Wewe ni walewale polisi mnajitetea tu.. yatudanganyiki ng'ooKwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.
Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.
Ni mimi mwananchi mnyonge.
Mkuuu kwani tcra hawaoni? Kama mtu amenusa au kuhisi basi aende polisi. Then familia itamreward. Ukiwazunguka makachero wa siro , wakikudaka!! Ila ninachofikiri ni wakati musfaka kuruhusu private investigators. Na kuwe na makampuni kama yalivyo ya ulinziTuma meseji Kwa whatsapp
Mwananchi mnyongeWewe ni walewale polisi mnajitetea tu.. yatudanganyiki ng'oo
Ni heri kuwa muasi wa Marekani kuliko mzalendo wa tz.Toa taarifa kama Mtanzania mzalendo.
Tanzania inaongoza kwa kua na sheria kandamizi dhidi ya wananchi wake
Ni heri kuwa muasi wa Marekani kuliko mzalendo wa tz.
Asituletee usnitch humu ndani!Hawajui wakti na yeye nibwale wale wazee wa kitengo anatuchora tu humu
Ukipata taarifa za Mo tafuta mtu aliye nje ya nchi,then huyo ndo awapigie ,then we utapata muamala Kwa huyo jamaa wa nje ya nchi.
Hata nikimuona siwezi piga simu kwa familia sitaki kuwa mbuzi wa kafala mieKwa hiyo mo aendelee kuumia japo taarifa unazo kisa hofu ya jeshi la polisi?wakati ni heri kukubali kuumia kwa ajili ya kuwasaidia wengine.
Bullshit hivi wewe unayeongea hivi uko nchi hii au unaongea hivi ukiwa ughaibuni ?Kwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.
Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.
Ni mimi mwananchi mnyonge.
Mimi nikimwona MO nitapiga simu kwa familia kuwajulisha.Hata nikimuona siwezi piga simu kwa familia sitaki kuwa mbuzi wa kafala mie
Sasa wewe ipe tabu familia yako watu waanze kusoma arobaini hata pasipo kuuona mwili wakoMimi nikimwona MO nitapiga simu kwa familia kuwajulisha.
Siku zote ukweli unabaki kuwa ukweli.
Hata nikikamatwa nitawaeleza ukweli na kwakuwa nina historia ya kuishi maisha ya ustaarabu Mbingu na Nchi vitainuka kunitetea au kunipokea nikiwa hai au mfu.
Siwezi nimuone MO halafu nikae kimya, Siwezi.
Wakati mwingine ni lazima ufanye jambo sahihi kwa mustakabaki wa faida ya watu wengine hata kama jambo hilo litakuumiza kwa kiwango kikubwa.