Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

Kwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.

Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.

Ni mimi mwananchi mnyonge.
Wewe ni walewale polisi mnajitetea tu.. yatudanganyiki ng'oo
 
Tuma meseji Kwa whatsapp
Mkuuu kwani tcra hawaoni? Kama mtu amenusa au kuhisi basi aende polisi. Then familia itamreward. Ukiwazunguka makachero wa siro , wakikudaka!! Ila ninachofikiri ni wakati musfaka kuruhusu private investigators. Na kuwe na makampuni kama yalivyo ya ulinzi
 
Kwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.

Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.

Ni mimi mwananchi mnyonge.
Bullshit hivi wewe unayeongea hivi uko nchi hii au unaongea hivi ukiwa ughaibuni ?
 
Hata nikimuona siwezi piga simu kwa familia sitaki kuwa mbuzi wa kafala mie
Mimi nikimwona MO nitapiga simu kwa familia kuwajulisha.
Siku zote ukweli unabaki kuwa ukweli.
Hata nikikamatwa nitawaeleza ukweli na kwakuwa nina historia ya kuishi maisha ya ustaarabu Mbingu na Nchi vitainuka kunitetea au kunipokea nikiwa hai au mfu.
Siwezi nimuone MO halafu nikae kimya, Siwezi.
Wakati mwingine ni lazima ufanye jambo sahihi kwa mustakabaki wa faida ya watu wengine hata kama jambo hilo litakuumiza kwa kiwango kikubwa.
 
Sasa wewe ipe tabu familia yako watu waanze kusoma arobaini hata pasipo kuuona mwili wako
 
Huyo ariyetoa taarifa sukumiza ndani...

Yaani Ninja akuache ule billioni moja kiwepesi wepesi kabisa...bila nongwa...!!

Nasema hata huyu anayesema sukumia ndani..!!
 
Janja janja tu hiyo "... vijana wa jiwe baada ya kumpata hans pope" (maana ndiye aliyekuwa mlengwa) ikaongea na familiar ya Mo wafanye press watangaze dau" la hiyo BL.1, huku wakiweka privacy Baina ya mnyetishaji na familiar husika"... (swali la kujiuliza kwanini waseme kuwa itabaki kuwa siri ya mnyetishaji na familiar ya mo!!?)

ni wazi wanataka kumuachia Mo lakini wana tengeneza mazingira yatakayo onyesha kuwa alitekwa na maharamia na sio wao"... ( swali la kujiuliza hivi kweli mo akipatikana kwa kupitia taatifa ya Mnyetishaji serikali haitotaka kujua Mo alitekwa na nani kweli !!!?..

. je hicho kiapo kilichowekwa na familiar ya mo hatuoni dhidi ya usalama wa mnyetishaji hatuoni kuwa ni danganya toto tu kwa mnyetishaji maana kama serikali haijahusika ni lazima itataka kumjua mnyetishaji ni nani '"!!?? ili iweze kuufuatilia huo mtandao wa watekaji".maana wameichafua serikali ya nchi yetu "..

so hapa Jamaa wametafuta defense mechanism ya kujitoa kwenye hili sakata" ili waonekane kuwa wao hawakuhusika..
 
Write your reply...
huo ni mtego,kuna watu wametegwa...!!ukijifanya una njaa sana itakula kwako!!
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom