Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

Mkuu watu watatoaje taarifa wakiwa hawana information za kutosha, 1 billion ni pesa ndefu na sitaki kuamini watu wanaogopa kutoa taarifa mbele ya billion 1, watu bado hawana uhakika Mo alipo,
 
Uzuri wake hii billion moja waliotangaziwa sio akina sisi,targeted people wanawajua wao.
Kwa Mfano watekaji wapo wengi,may be Dereva kaahidiwa milioni 50 na kapewa Advance 25 Bado 25,sasa kasikia hapa kuna 1b huyu anaweza lisaliti kundi,ila akina sisi kutoka mbwinde huku hiyo sidhani kama inatuhusu
 
Dereva ukiteka ukamaliza unauwawa
 
Achilia mbali bilion, hata elfu 10 huwezi pewa. Hebu fikiria Mo anashikiliwa na kina Bashite sasa ni nani utampa taarifa akamtoe kwa Bashite? Ni hawa polisi wanaopongezana baada ya uchaguzi....acheni utani nyie.
Hahaha
 
Unayo nafasi ya kujaribu
Uzuri wake hii billion moja waliotangaziwa sio akina sisi,targeted people wanawajua wao.
Kwa Mfano watekaji wapo wengi,may be Dereva kaahidiwa milioni 50 na kapewa Advance 25 Bado 25,sasa kasikia hapa kuna 1b huyu anaweza lisaliti kundi,ila akina sisi kutoka mbwinde huku hiyo sidhani kama inatuhusu
 
Mm niko kazin nantafuta tuu hadi apatikane.. mtakufa masikin vijana oohoo one billion inaeleaa hewani hampendi itwa mabilionea shaur yanuu..
 
Back
Top Bottom