Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

Kwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.

Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.

Ni mimi mwananchi mnyonge.
Mimi nakwambia na nakuhakikishia ,hatuna jeshi la polisi,tuna militia wing ya CCM.Hii ni sawa na Storm troopers au Gestapo ya Adolf Hitler au Hitler Youth nk.
 
Kwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.

Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.

Ni mimi mwananchi mnyonge.
Imara kuharibu mikutano ya chadema. Hapo ntakuelewa. Hujui policcm wanamakosa gani? Bila shaka utakuwa unalelewa na mjumbe wa shina la ccm.
 
Mimi sishauli kwa hili jeshi la polisi maana utafanywa chambo kwa wingine
 
Mi ata nikimuona kitaa sithubutu kureport. Nani hajui kusaidia polisi bongo inavokuaga.
 
Back
Top Bottom