Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

...ukisikia kuisaidia polisi, si mchezo waweza enda nye..a debe kwa kuingilia kazi yao, sio wote walowahi saidia polisi kwa nia njema wametoka salama. Tuwaachie watekeleze majukumu yaooo wana weledi wa kutosha (vyombo vyote vya ulinzi na usalama vikiunganisha nguvu majibu yatapatikana).
 
Ondoa hofu
Nikisema sizitaki nitakuwa muongo kwani sijui nitakaa nifanye nini nizione tu zimeandikwa kwenye kibubu changu. Ila, nimesema, kitendo tu cha kuwaonesha kwamba yuleeeee halafu iwe kweli, sijui kama utachukua dk duniani weye
 
Mtoa taarifa kama si muhalifu utalindwa.
Haaah we jidanganye familia haiwezi kamata watuhumiwa taarifa hizo zinaenda Polisi na zikifika huko umekwisha watakuhitaji na ukifika huko wanakuanika hapo unaliwa kote kote Polisi na kwa wale watuhumiwa lazima wakutafute wakumalize

1B ni tamu na nzuri ila kwa mazingira yetu ya Tz ni BIG NOO!!
 
Zipo sehem za kupeleka malalamiko alifanya hivyo?
Upo sahihi kabisa. Nina mifano mingi mno. Kuna jamaa fulani maeneo, alikamatwa kwa kosa la uvuvi haramu, then akawekwa mahabusu, ila kabla ya kuingia sero alikabidhi vitu vyake, baada ya kutoka mahabusu akaambiwa aje kesho yake kuchukua vitu vyake, alipofika tu aliambiwa kamtukana afisa wa polisi wa zamu, tena wakamuweka ndani, ndugu zake ikabidi watoe laki moja na nusu kumtoa.
Kwa ufupi jeshi la polisi lina majambazi na wezi. Mfano mwingine wakienda kwenye misako ya ng’ombe kwenye hifadhi huwa wanachukua mifugo na kugawana, sasa achilia kwenye ushahidi, yaani ukienda kutoa taarifa wanakuweka ndani na kukubambikiza kesi hata ya mauaji, ili utoe rushwa, so sad, hii ndo bongo.
 
Pongezi kwa Taifa linahitaji vijana wenye uthubutu kama wewe.GOOD
Achen nizam ya uoga tuingien porin,

Kama wametoa dau bas wapo tayar kutoa ushirikiano

Mm ningepata vijana 5 tu wa kaz, MO tunaamka nae alfajir na swala
Nimpate IT (hacker uko n mbal sana)
Mcheza karate
Psychologist
Driver makn (kama wa fast and furious van diesel)
Team captain mm menyew
MO anapatkana ndan ya masaa 12
 
Au wameenda kum Clone? Namuona R. O. M. A alivyotoka kule hazungumzi tena cha maana kama alivyokuwa sasa hiv anaimba Mipasho tu
 
Back
Top Bottom