Kwa taharifa yako tu, kama ulikuwa ufahamu. Uki...

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Ukiota unafanya mapenzi na mama au baba yako mzazi maana yake unatakiwa uharakishe mipamgo yako ya biashara.

Mwanamme akiota anafanya mapenzi na mwanamme mwenzie ni ishara ya kupoteza heshima yake, fedha zake, kudharauliwa na wanaomtegemea au kupata kesi ya kashfa na kumuacha mkewe.

Ukiota unafanya mapenzi na mtoto mdogo ambaye hajatimiza umri wa kufanya mapenzi ni ishara ya kupata matatizo ya akili.

Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke au mwanamme mwenye sura mbaya maana yake utapata hasara.

Ukiota unafanya mapenzi na mke wa mtu ni ishara ya kupata biashara ambayo itakuletea faida kubwa kutoka kwa mumewe.

Mtu mgonjwa akiota anafanya mapenzi na mama yake mzazi hiyo ni ishara kwamba mgonjwa huyo atakufa.

Ukiota unafanya mapenzi na Maiti mwanamke au mwanamume ni ishara ya kifo chako wewe mwenyewe.

Mwanamke aliyeolewa akiota anafanya mapenzi na mwanamke mwenzie ni ishara ya kuachwa na mumewe au kufiwa na mume huyo.

Ndugu yangu tahadhari......, Be ready...... Gharika linakuja, Hopefully you are well prepared to defend your motions....
 
mmh hata sikuelewi mbn ndoto zako zote mby mby tu?nimezoea kuota niko juu naimba na malaika,niko bustanini nakula matuma,niko kwa wenye shida na njaa nawasaidia ktk matatizo yao,niko magereza nawapa neno la uzima,mwenzangu unalal wapi ww?maana hata jisura yako lilivyo kweli unaendana na hizo ndoto.
 
Leo usiku, naomba uote unafanya mapenzi na mwanamke mwenzie
 
Inaonekana umebase sana kwenye ndoto mbaya tu za kufanya mapenzi,nikiota nafanya mapenzi na mke wangu mpenzi ina maana gani?
 
Mtafanikiwa kwenye biashara yenu pamoja na maendeleo kwa ujumla
 
Duuu, kweli inahitajika jukwaa la unajimu, uganga na uchawi JF, nimekutana na unajimu jukwaa la siasa, na huku tena unajimu na mapepo.... great thinkers wamegeuka wanajimu au kuna waganga wamekuja kutangaza biashara jamvini????? :shock:
 
Usiku wa leo, naomba uote unafanya mapenzi na mtoto mdogo ambaye hajatimiza umri wa kufanya mapenzi
 
Duuu, kweli inahitajika jukwaa la unajimu, uganga na uchawi JF, nimekutana na unajimu jukwaa la siasa, na huku tena unajimu na mapepo.... great thinkers wamegeuka wanajimu au kuna waganga wamekuja kutangaza biashara jamvini????? :shock:

Wanajimu walio wakweli nawakubali. Wanakueleza jambo au kitu na ikatokea si tatizo.
Wata waganga wakitoa tiba mbadala ikakusaidia nawakubali. Huwezi kupinga kila kitu.
Atuwekee ushahidi wa tafsiri wa hizo ndoto amesoma kiatbu gani? Mtunzi wake nani? Au atuwekee hiyo link tuangalie .
Sio kuleta maelezo yake humu.
Namuheshimu sana mawazo yake.
 
Ukiota unafanya mapenzi na mama au baba yako mzazi maana yake unatakiwa uharakishe mipamgo yako ya biashara.

Mwanamme akiota anafanya mapenzi na mwanamme mwenzie ni ishara ya kupoteza heshima yake, fedha zake, kudharauliwa na wanaomtegemea au kupata kesi ya kashfa na kumuacha mkewe.

Ukiota unafanya mapenzi na mtoto mdogo ambaye hajatimiza umri wa kufanya mapenzi ni ishara ya kupata matatizo ya akili.

Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke au mwanamme mwenye sura mbaya maana yake utapata hasara.

Ukiota unafanya mapenzi na mke wa mtu ni ishara ya kupata biashara ambayo itakuletea faida kubwa kutoka kwa mumewe.

Mtu mgonjwa akiota anafanya mapenzi na mama yake mzazi hiyo ni ishara kwamba mgonjwa huyo atakufa.

Ukiota unafanya mapenzi na Maiti mwanamke au mwanamume ni ishara ya kifo chako wewe mwenyewe.

Mwanamke aliyeolewa akiota anafanya mapenzi na mwanamke mwenzie ni ishara ya kuachwa na mumewe au kufiwa na mume huyo.

Mkuu inaonekana una Matatizo mengi sana au watu uliowafanyia utafiti wana shida, kwani mara nyingi Ndoto mbaya zinaendana na mazingira ya shida, mfano kama kulala kitanda kilichobonyea, manundu, na nk, huwa wanaota ndoto kama hizo na hata wakati mungine wanaota wanafukuzwa na simba na Majinamizi mengine ya kutisha.Tofauti na watu wanaolala sehemu mzuri Ndoto zao mara nyingi huwa wanasafiri na Ndege kwenda kokote kula maraha
 
Back
Top Bottom