Kwa tabia za CHADEMA huyu naye anaweza kugombea Urais

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
227
597
Kwa Tabia za ukigeu geu za hiki chama kwa mbali naona huyu naye anaweza kuhamasishwa kugombea Urais/
Naona Tayari Mzee wangu Lowasa wametupa kapuni sasa ni BCM mara sijui Kazi na Bata.
#Endeleeni kuchezeshwa mchezo wa watoto huku 2020 Jpm akizidi kusonga mbele.
wema1.jpg
 
Nimekuona unachungulia ule uzi wa Natamani kupata demu wa kizungu.
Umeshampata???

Au rangi ya Sepenga imekuchanganya??

2020 tunakula bata na Mr Mango....
Ni mwendo wa #2020Kazi-na-bata.
 
Bavicha wamesahau Kuwa Kamanda Mbowe atakuwa Mahabusu wakati wao wanakula POmbe Za X mass Maeneo mbali mbali ya Nchi

Wakimaliza kesho yake wanaonesha Umoja Kwa kumtag Kwenye page zake Za Mitandao ya Kijamii Kuwa 'Tuko pamoja Kamanda'
 
Membe mbona binaadamu..
tatizo kichwa nundu..
Mimi ukiweka kichwa nundu na kuku basi kura nampigia kuku..
 
Bavicha wamesahau Kuwa Kamanda Mbowe atakuwa Mahabusu wakati wao wanakula POmbe Za X mass Maeneo mbali mbali ya Nchi

Wakimaliza kesho yake wanaonesha Umoja Kwa kumtag Kwenye page zake Za Mitandao ya Kijamii Kuwa 'Tuko pamoja Kamanda'
Hivi unadhani mnavyomweka seroy kwa Mambo kandamizi hata tuu mwenendo wa kesi unatia Shaka ni credit kwenu?
FYI ninsiku chache Sana zimebaki mfungwa atakuwa mezani ameketu kwenye kiti Cha utawala na mtawala atakuwa mfungwa.
 
sheria ni msumeno ndugu, na ndio maana kwa mahakama hizi hizi Tundu Lissu hua anashinda kesi zake,

Tuwe wakweli sheria inapotugeuka.
 
Back
Top Bottom