Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

katemaari kabisa usichelewe viumbe dhaifu hawa
 
Vuta jiko hilo na uache uzinzi. Ila kumbuka type hizo huwa hawajui mambo kabisa sasa kwa watu kama wewe waliozoea kuchovya chovya kimtindo anaweza kuwa turn off kwa kiasi fulani kitandani, kwa hiyo inabidi uwe mvumilivu na umfundishe mambo haswaaa. Mabinti kama hao wapo wengi tu, ni wewe tu unatakiwa kujua wanakopatikana, tatizo hapa JF watu kwa kiasi fulani watu wengi wanaamini kuwa mabinti wa siku hizi wote vicheche na waongo waongo ila wapo walio safi tena wengi sanaaa. Halafu sasa wengi wao huwa hawajui hata JF ni kitu gani.
 

Siku zote nimetamani kuishi na mwanamke mwenye sifa hizi, nimezoea kuombwa pesa na ma-ex wangu tena wkt mwingine pesa nyingi hadi laki 6, tabia inayonikera sana.

Kuhusu ubinafsi, ntalifanyia kazi. Udhaifu mwingine tutarekebishana taratibu, no one is 100% perfect.
 
Last edited by a moderator:
Duh nikampata huyo fasta napeleka posa sisubiri aje abadilike maana waliopo sasa hivi kama huna gari usimsemeshe habari za kwenda out daladala hawezi utafikiri kwao kuna gari vile aagghh!!! I hate this

Niko mbioni kwenda kuchumbia mkuu, kuna mambo nasubiri yakae sawa tu
 
jie jitieni ujinga humu.....yaani huyo siku akiijua starehe utaomba Dunia ipasuke....mimi nakomaa na hawa hawa akina Heaven on Earth.....najua IT CAN'T GET ANY WORSE

Starehe labda nimfundishe mm, na by the time anazijua tayari atakua ndani kwangu, so hizo starehe ntakua nafanya nae mimi mumewe, jambo la msingi ni kuomba uzima tu.
 
Last edited by a moderator:

Nimekusoma mkuu
 
Ngoja na mimi nipige chini hiki kimeo changu maana kina njaa kali kama kimezaliwa Somalia. Utasikia mara bebii hela ya Saloon, Mara next week nina birthday nataka niifanyie Jangwani Sea Breeze na marafiki zangu wa chuo!! Yani ni shidaaAaa. Mkuu huyo binti ni wa aina ya peke yake so fanya juu chini uweke ndani kabisa.
 

Huyu ndiyo inabidi umtilie mashaka sana kwanza, ufanye uchunguzi wa kutosha il uwe na uhakika kabisa kuwa anachofanya hiki siyo maigizo ila ni tabia yake halisi. Ukishajiridhisha na kila kitu juu yake kuwa kiko kama unavyomuona, ndiyo hapo sasa unatakiwa ubwabwaje maneno kama ulivyofanya hapa, otherwise anaweza akawa ni mzuri tu na anafaa kwa kuoa, ila akawa hana qualities exactly kama unavyomuona sasa. Ikitokea hivi na huku wewe ulikuwa umesham-rank juu sana, to some extent unaweza ukaja kuwa discouraged sana huko mbele ya safari,na inawez kupelekea kuharibu ama kuyumbisha mahusiano yenu mema. Fanya uchunguzi na ujiridhishe kabisa kuwa vile unavyomuona ndivyo alivyo.
 
Hiyo mix ni hatari! Wanakuwaga wazuriiiiiii! Hongera shemeji, kamata fursa tule kitchen party!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…