Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
- Thread starter
-
- #61
Kaka sikia ukiina kafikia vigezo vyako beba maana watu wa kando kila mtu atasema Lake na wanaokuwa negative ni kutokana na matatizo yalio wakumba wao. Haya mambo hayana formula u make ur own. Wengi wakibadilika hutegemeana saanaa na wewe mwenyewe. Ukichange jiandae ne yy atachange fastaaa!!
Kweli naoa badiebey, mark my words.
Nachukia sana uandishi wa aina hii. Unatumalizia kilojoules zetu kufikiria nini umeandika. Huu uandishi uachieni huko huko kwenye umbea wenu!
kwani aliyeko chuo haolewi? subiri mi nafuata huko huko na kifaru badala ya gari lako mkweche
mi pia nashindwa kuwaelewa, viumbe vyenye mikia mbele ni viumbe vya ajabu sana.mkiombwa hela tabu msipoombwa shida, sasa cjui ni watu wa aina gani ninyi
ila ww subiri subiri tu utakuta mwana c wako
Acha kukurupuka, rejea uzi wangu uusome vzr na uuelewe.
Na usiache kumwomba Mungu ili malengo yako yatimie
Mchumba kumbe una kabint kengine duhhhh
muweke ndani mkuu...................bahati haiji mara mbili!
ukiliachia ilo kaa tayari na majanga.
Kameficha makucha kaolewe.
mi pia nashindwa kuwaelewa, viumbe vyenye mikia mbele ni viumbe vya ajabu sana.
Labda umbadilishe wewe..