Kwa tabia hii ya Yanga wana safari ndefu sana

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Haiwezekani kila baada ya mechi ya Simba tena wakifanya vizuri wao ni press tu na kwenye press hamna cha kuzungumzia zaidi ya mabadiliko na usajili wa wanachama.

Kama kuna shabiki wa Yanga anasoma uzi huu nawaambia hizo ni roho za kichawi na hamtofika popote pale mtaishia hapa hapa.

Simba ilipoifunga Asec Mimosas wakaitisha press Bumbuli na Manara ila iliyopoteza kule Morocco wakakaa kimya.

Jana imeshinda leo mkutano na wahandishi wa habari tena huu ni uzwazwa

Nimeandika nikiwa nimepanic
 
Unamaanisha hii kawaida saana wanataka kuwapa moyo mashabiki wao
IMG-20220314-WA0058.jpg
 
Bro usiumize kichwa sana na utopolo utakuwa chizi. Rejea mazungumzo haya baina ya viongozi wa hizi timu mbili.

MAZUNGUMZO 1.
Yanga: Hivi imekuwaje simba anachukua ubingwa mfululizo?
Mshauri: Wachawi tu wale na fitna za nje ya uwanja.
Yanga: Sasa tunafanyaje?
Mshauri: Tuhonge tff, marefa, timu nyingine wawavunje miguu, turoge sanaa, tuwachafulie image yao kimataifa, tuwaharibie dili za wachezaji wanaotaka kuwanunua toka nje, yaani fitna fitna tuu, unasemajejw boss?
Yanga: Safi sana tuanze kazi hii mara moja.
Mshauri: Sawa boss lete mpunga tuingie kazini.

MAZUNGUMZO 2.
Simba: Hivi inakuwa hatufiki fainali mashindano ya kimataifa.
Mshauri: Tujifunze kutoka kwa wengine wamefanikiwa vipi.
Simba: Ok, lete bajeti yako ya kufanya utafiti na uje na majibu yenye mashiko.
Mshauri; Bosi utafiti wangu kwanza inatakiwa kubadili mfumo, Kuwekeza kwa vijana na wazoefu kwa wakati mmoja, kuachana na mtazamo wa kuifunga utopolo tuu, kuachana na mawazo ya kununua gemu, kuelekeza nidhamu kila mtu kwenye nafasi yake na pia kuachana na makocha waujanja ujanja.
Simba: Ok hii ina maana pia tujitathmini sisi wenyewe na sio kujifananisha na timu nyingine za hapa ndani.
Mshauri: Ndio mzee
 
Haiwezekani kila baada ya mechi ya Simba tena wakifanya vizuri wao ni press tu na kwenye press hamna cha kuzungumzia zaidi ya mabadiliko na usajili wa anachama.

Kama kuna shabiki wa Yanga anasoma uzi huu nawaambia hizo ni roho za kichawi na hamtofika popote pale mtaishia hapa hapa.

Simba ilipoifunga Asec mimosas wakaitisha press Bumbuli na Manara ila iliyopoteza kule Morocco wakakaa kimya.

Jana imeshinda leo mkutano na wahandishi wa habari tena huu ni uzwazwa

Nimeandika nikiwa nimepanic
Kwani Simba wamefika wapi, ushindi wenyewe ndio huu wa Rozi Mhando.
 
kunywa soda, urelax
 
Kumbe hilo nalo linaumiza watu, waswahili wanasema mambo ya ngoswe mwachie mwenyewe
 
Kwani Simba wamefika wapi, ushindi wenyewe ndio huu wa Rozi Mhando.
Jifanyie we tathimini ndiyo uongee ya nyumba ya jirani.

Kwani Yanga wao walifika wapi, anzia hapa. Halafu sasa njoo piga porojo zako.Punguza uzuzu
 
Tuliposhinda mechi ya Asec wakafanya press kutambululisha wimbo wa Yanga tamu.

Tulipotoa draw kule Niger kesho yake wakaitisha press.

Imebaki siku moja simba kucheza na Berkane wakapanga kucheza na timu ya somalia.

Simba iliposhinda kesho yake wakafanya press ya kupokea ng'ombe wa Mayele.

Wana viongozi wapumbavu mno
 
Back
Top Bottom