Kwa tabia hii TIGO mnakera

mimi natumia line ya tigo sasa ni mwezi wa nne sijasajili illa naweka salio naendelea kutumia. nimeshatapeli watu kibao kwa line yangu na najua hawatakaa wanipate. TIGO TIGO hOYEEE kutwanga tuu kote kote. niliowatapeli hata waende na barua za INTEPOL hawatapata PRINTOUT haraka. PRINT OUT itaonyesha nini na mimi sijasaliwa na mawasiliano ninayo? hata kujisajili siyo lazima niwe na kitambulisho
 
Yeyote aliyefanikiwa katika hili,maana huduma kwa wateja ukipiga utasikiliza muziki mpaka utaamua kukata simu tu
 
watu wa dar, pwani na morogoro wamewakosea nini tigo? Mikoa mingine ukinusa tu wanakutumia meseji, ukiwa mkoa huu pata mara mbili ya salio kupiga mitandao yote lakini dar,pwani na moro hakuna cha mara mbili wala mara nusu
 
Back
Top Bottom