Kwa tabia hii TIGO mnakera

Truly

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
228
32
Nakerwa na tabia hii ya kampuni ya tigo. Katika huduma hii ya vifurushi vya tigo internet kuna options kama unataka kwa siku, wiki, mwezi nk. Mimi nilijiunga na kifurushi cha siku. Ajab
u kila siku wananikata. Huu ni wizi.
 
tigo ni wasanii!wanakera sana!ila wamesaidia kuleta ushindani kwenye industry ya simu!ingekua haipo voda wangetufilisi!
 
cha ajabu wanafanya hivyo bila hata kukutaarifu.hata hiyo kuongea kwa nusu sh kwa sekunde si kweli.
 
Nakerwa na tabia hii ya kampuni ya tigo. Katika huduma hii ya vifurushi vya tigo internet kuna options kama unataka kwa siku, wiki, mwezi nk. Mimi nilijiunga na kifurushi cha siku. Ajabu kila siku wananikata. Huu ni wizi.
Hapo mkuu sijakupata, umesema unaomba kifurushi cha siku halafu kila siku wanakukata? Nijuavyo mimi ni kuwa kifurushi cha siku ni MB 20 Ambazo unatumia hadi ndani ya siku2 lakini ukimaliza hizo Mb 20 ndani ya siku unakatwa 50/mb hadi pale utaponunua kifurushi kingine.
 
Nilimaanisha ukinunua kifurushi cha tigo internet kwa ajili ya simu. Hapa sizungumzii moderm. Kuna option ya kiwango cha pesa luna 480, 700 etc. Halafu kuna option ya siku. Kuna kwa siku, wiki,mwezi etc. Sasa mimi nilinunua kwa siku hiyo moja tu kifurushi cha 700.Ajabu kila siku nakatwa 700. Simu yangu ilikuwa na 10,000 nimekatwa kila siku 700. Hapo ndipo nlipokereka. Sasa hivi siweki vocha na nikiweka ni jero tu.
 
Kumbe wahanga tupo wengi jamani. Kuna kipindi unakuwa busy huwezi kuingia net au sehem uliyopo haina network ila pesa ya kifurushi ishakatwa.
Wanaojua namna ya kujiondoa watufahamishe.
 
cha ajabu wanafanya hivyo bila hata kukutaarifu.hata hiyo kuongea kwa nusu sh kwa sekunde si kweli.
Ni mpaka umalize dakika moja ya kwanza au Sekunde 60 ndio ukatwe hiyo nusu Shilingi... aghalabu ili kwenda pema peponi au Mbinguni ni shurti ufe kwanza... sawa kaka Figganigga.
 
Tigo mi wananifurahisha na Blackberry Service! Kwa 20,000 tu nakuwa hewani mwenz mzima! Wakati Voda na Airtel ni 36,000! Sasa hapo nan mwizi?
 
Nilimaanisha ukinunua kifurushi cha tigo internet kwa ajili ya simu. Hapa sizungumzii moderm. Kuna option ya kiwango cha pesa luna 480, 700 etc. Halafu kuna option ya siku. Kuna kwa siku, wiki,mwezi etc. Sasa mimi nilinunua kwa siku hiyo moja tu kifurushi cha 700.Ajabu kila siku nakatwa 700. Simu yangu ilikuwa na 10,000 nimekatwa kila siku 700. Hapo ndipo nlipokereka. Sasa hivi siweki vocha na nikiweka ni jero tu.
Pole sana mkuu kama hutaki tena hiyo huduma yao hebu jaribu kutuma neno STOP kwenda 15166 unaweza ukafanikiwa
 
Acheni masihara bila tigo maisha yetu maskini yangekuwaje, hebu fikiria kifurushi cha 450
kwnye simu unatumia siku 2. Na kama hutaki kuna option ya kujtoa
 
Wakuu, hamna aliyefanikiwa kujua namna ya kujiondoa kwenye hii huduma? unakatwa kila siku mia 500 kwa kuwa wanakuunganisha tena kesho yake kitu ambacho wengi hawapendi.... Mi mwenyewe sina matumizi ya internet kwenye simu yangu ya tigo ila wananiunganisha tokea juzi.
 
mimi nliweka cha wiki 2500 nashangaa sasa mwezi natumia bure na skatwi salio
 
Kwa kweli natamani maghuli apewe hii wizara ya mawasiliano kwa saa 24 tu asafishe upuuzi uliojaa tcra, hivi hwa tcra nao ni wasomi kweli????? Shit hebu waone mamlaka nyingine kama tfda inavyochapa kazi, hebu waangalie ewura na mafuta hebu waangalie sumatra na daldala, lakini wao ni vimeo kabisa wenye mitandao ni matapeli kabisa tena wakutupwa.... Ofa feki matangazo ya bei za kupiga simu ni uongo mtupu, yaani inakera. Kwanza hii tanzania tunaibiwa tu, haya makampini ya simu ni wizi mtupu yalikuja kama makampuni ya simu hebu angalia leo yanafanya nini je ni mabenki, ni makampuni ya michezo ya bahati nasibu, ni makampuni ya matangazo, ni wachinga maana kila sehemu wameweka makontena huku vijana wetu wametimuliwa hebu angalia stendi zoote utayona makontena yao sehemu zisizoruhusiwa.-yanabadili majina kila gross period inapoisha ili kukwepa kodi, -tunatumiwa ujumbe bila idhini yetu, hata kama uko nje ya maadili-yanatumia nyimbo za wasanii weetu kama kola tune bila idhiniipo siku ipo siku mtanzania atakuwa rais wa nchi uchafu huu utafyagiwa.
 
Samtym wanakusahau hadi wiki,ila ugoro wao ukinunua per day 450tsh,ukitumia simu kama modem wanakupa only 20mb zikiisha unatumia simu tu,tigo afadhari kuliko wezi zantel,
Acheni masihara bila tigo maisha yetu maskini yangekuwaje, hebu fikiria kifurushi cha 450kwnye simu unatumia siku 2. Na kama hutaki kuna option ya kujtoa
 
Back
Top Bottom