Kwa taarifa yako...

Kwa taarifa yako...

Ibrahimovic

Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
39
Reaction score
7
Tunawezaje kutarajia watoto wema?
Tom & Jerry muda wote wanagombana.,
Tarzan anatembea almost uchi.,
Cinderella anarudi nyumbani usiku wa manane.,
Aladdin ndio mfalme wa wezi.,
Batman anaendesha kwa speed ya 320km/h.,
Sleeping Beauty muda wote anashinda amelala.,
Snow White anaishi na wanaume saba!!! So tusishangae watoto wetu wanapokuwa watukutu coz yote haya wanajifunza kutoka kwenye fairy tales..
 
Aisee,
Utanifanya sasa ninunue kanda za Kiduku za mZEE WA mSOGA NIWAWEKEE WANANGU!
 
Aisee,
Utanifanya sasa ninunue kanda za Kiduku za mZEE WA mSOGA NIWAWEKEE WANANGU!

nani tena sio mkwèré huyo? Naye ana kanda zake basi ****** ni noma.
Usishangae hapo kwenye nyota nimeliandika jina lake na limefichwa.
 
Kwa ulimwengu wa sasa tushachelewa sana maana wanazaliwa wakiwa wanajua kila kitu!
 
Vya wazungu vinaponza sana tusipoenda kwa tahadhari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom