Kwa taarifa yako

Duuh...

Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...

Pia tendo la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.
Ahahahahahahaa yallah mbavu
 
Leo umeamua
 
Hujafikiria kwamba mngebaki wanawake tu na mngeuana sana kwaajili ya mkuki Wa nyama?
 
Hujafikiria kwamba mngebaki wanawake tu na mngeuana sana kwaajili ya mkuki Wa nyama?
Wanaume wasingekubali kufa kwa urahisi hivyo bado ke na me wote wangekuwepo na heshima juu hasa kwa tendo la ngono.
 
Namshukuru mungu kwa kutupa option mbili za kufanya tendo la ndoa,ni wewe tu utakavoamua utumie kama starehe au utumie ili uzae,wanyama wao hufanya ktu hik kwa minajil ya kuzaa tu
 
Duuh...

Nimewaza tuu ingekuwa hivyo kwa binadamu..... matatizo mengi sana yangepungua na kutoweka. ...

Pia tendo la ngono lingeheshimika sana na siajabu kusingekuwa na kubakwa, mimba zisizotarajiwa n.k. n.k.
Nishakuelewa. Umejaa roho ya kibinafsi. Kasinde unatuombea dua mbaya Wanaume. Sa tukiisha ote, utamu mtaupata wapi?
 
Weee jamaa ni mnyanyasaji.
 
Ila kama ilivyo kwa nyuki akishagongwa anataga mayai mengi yanayotoa nyuki wengi sana tena wanaume wote isipokuwa kama kunakuwa na jike linafichwa mapema sana na wafanyakazi kwakuwa Malkia akigundua analiharibu.hivyo hata dunia ingekuwa na wanawake wachache kama ilivyo sasa kwa nyuki
 
Hahahahaaa hiyo peniz ingekuwa inayeyuka kama vile glucose inavoyeyuka pindi unapoilamba hivyo key haitajaa wala kuziba heheh na usalama ungekuwepo kwa peniz nyingine kuja kukatikia hapo hahahahahah raha sana looh
mtoto una balaa ww
 
Nishakuelewa. Umejaa roho ya kibinafsi. Kasinde unatuombea dua mbaya Wanaume. Sa tukiisha ote, utamu mtaupata wapi?

Wee nawe hujanielewa kama Mgirik,
Kuwaza kwangu au kuhusisha maisha ya nyuki na ya binadamu ke na me ni kuwa wote wangeogopana kwasababu binadamu wana hofu ya kufa kila mtu anaogopa kufa labda kichaa. Sifahamu kama wa dudu wanakuwaga na hofu ya kifo.

Sasa basi ikiwa me na ke wakifanyana na kufika orgasm na me anakufa; basi tendo la ngono lisingefanyika hovyohovyo kama inavyofanyika sasa maana kama ke anampenda me hatakubali kumuona anakufa hivyo mapenzi yatakuwa ni kukumbatiana kushikana mikono kubusiana kutomasana na vya kufanana navyo. Kwa mantiki hii wanaume hawawezi kuisha.

Hivyo hakuna roho mbaya hapo sana sana mwanaume mwenye uchu wa kumwaga manii ndo atakuwa anajiua mwenyewe au ambaye angetaka kumpa ke mimba.
 
Yaani navuta picha: tunafanyana huku sote tunalia MSIBA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…