Kwa taarifa yako..

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,674
2,801
1181562117d6f2a2348ee5cd0ad6441e.jpg
 
Noti iliyotisha na kushitua kuliko zote zilizowahi kutokea. (BLUE)
 
Kipindi pesa inaitwa pesa. Ukiwa na blue Ulikuwa unaweza kumtoa mshikaji out mkapiga bia za kutosha tu, ulikuwa unaweza kwenda supermarket ukajaza kikapu kwa bidhaa mbali mbali. Ulikuwa hauwezi kulipia nauli kwenye basi maana sio konda tu atachonga lakini utaacha minong'ono kwa abiria wote kuwa unatafuta sifa za kijinga.
 
Back
Top Bottom