Kwa style hii ya mawaziri kikwete umepotea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa style hii ya mawaziri kikwete umepotea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAJANI YA KUNDE, Mar 3, 2011.

 1. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jana usiku kulikuwa na kipindi TBC1 KIPINDI MAALUM.KUIJADILI HOTUBA YA KIKWETE Nilipokisikiliza sikuona mjadala juu ya Hotuba badala yake WAZIRI WASIRA alikitumia kipindi chote kuisema vibaya CHADEMA dhidi ya Maandamano kanda ya Ziwa,Kama baraza zima halina cha kuongea juu ya kuwasaidia Watanzania badala yake Rais,Waziri Mkuu na Mawaziri wote wameaua kupambana na Dr Slaa na Chadema basi wajue Maandamano yatakuwa zaidi ya hayo kwani Watanzania wanaotaabika watakuwa na mengi yanayowasumbua.Akipatikana mtu atakaetuzungumzia shida na Matatizo yetu tutamsikiliza tu hata kama ni chizi. Kikwete na Mawaziri wako fanyeni kazi muone kama tutawasumbua.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  jamaa naona serikali yote imeacha kufanya kazi sasa wanakaa na kujadili CHADEMA je kwa mtindo huo tutafika??ama kweli miaka 5 hii ya mwisho itakua migumu sana kwa CCM kutekeleza majukumu yake!
   
Loading...