Kwa style hii msichana hapindui......lol

Kwa style hii msichana hapindui......lol

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,171
Reaction score
1,733
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.

Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
Binti: Lakini mimi sikupendi jamani.

Jamaa: Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8 "Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo."
Binti: Mh! Mi ntajuaje kwamba na wewe unamaanisha hayo maneno?

Jamaa: Injili ya Mathayo 12:34b "Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake."
Binti: Jamani leo kazi. Mi ntajuaje kwamba we ni mkweli na mwaminifu?

Jamaa: Injili ya Marko 13:31 "Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe."
Binti: Wewe! Na kwanini umekuja kwangu? Wasichana mbona wako wengi tu!

Jamaa: Mithali 31:29 "Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote."
Binti: We una mambo wewe! Sasa mimi kwangu umependa kitu gani?

Jamaa: Wimbo Ulio Bora 4:7 "Mpenzi wangu, u mzuri pia pia, Wala ndani yako hamna hila."
Binti: Mh! Huo uongo, mbona mimi hata sio mzuri kihivyo. Unaongeza chumvi tu!

Jamaa: Mithali 31:30 "Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa."
Binti: Nikisema nimekukubalia itakuaje?

Jamaa: Mwanzo 2:24 " Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
Binti: Jamani we mkaka. Inakuaje unajua maandiko kiasi hicho?

Jamaa: Yoshua 1:8 "Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate
kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo
utakapositawi sana."
Binti: Wowwww! Naona unampenda sana Mungu.

Jamaa: Zaburi 34:8 "Onjeni mwone ya kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini."
Binti: Mh! Haya bwana. Basi nipe muda nifikirie ombi lako.

Jamaa: Wafilipi 4:8 "Hatimaye, ndugu zangu, mambo yoyote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yoyote, yatafakarini hayo."
Binti: Mh! Jamani wewe, haya, nimekubali. Mpaka hapo nakupenda tayari!!

Jamaa:
Ufunuo wa Yohana 22:21b "Amina"
 
Khaa! Hii post imeletwa uku tena!!!
Niliikuta Jukwaa La Jokes! Nikaijibu ivi:- "KUMBE BAIBO NI MZURI KWA KUTONGOZEA ETI!"
Duh! Sina bongebonye! Ningekuekea hapahapa!!!! lol..!
 
Usipende kucopy na kupaste halafu usitumie kitabu kitakatifu kwa ajili ya mambo kijinga.
 
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una
mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.
Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana
Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe
peke yake, nitamfanyia msaidizi wa
kufanana naye."
Binti: Lakini mimi sikupendi jamani.
Jamaa: Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8
"Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa
maana Mungu ni upendo."
Binti: Mh! Mi ntajuaje kwamba na wewe
unamaanisha hayo maneno?
Jamaa: Injili ya Mathayo 12:34b "Maana,
kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo
wake."
Binti: Jamani leo kazi. Mi ntajuaje kwamba
we ni mkweli na mwaminifu?
Jamaa: Injili ya Marko 13:31 "Mbingu na
nchi zitapita; lakini maneno yangu
hayatapita kamwe."
Binti: Wewe! Na kwanini umekuja kwangu?
Wasichana mbona wako wengi tu!
Jamaa: Mithali 31:29 "Binti za watu wengi
wamefanya mema, Lakini wewe umewapita
wote."
Binti: We una mambo wewe! Sasa mimi
kwangu umependa kitu gani?
Jamaa: Wimbo Ulio Bora 4:7 "Mpenzi
wangu, u mzuri pia pia, Wala ndani yako
hamna ila."
Binti: Mh! Huo uongo, mbona mimi hata
sio mzuri kihivyo. Unaongeza chumvi tu!
Jamaa: Mithali 31:30 "Upendeleo
hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali
mwanamke amchaye Bwana, ndiye
atakayesifiwa."
Binti: Nikisema nimekukubalia itakuaje?
Jamaa: Mwanzo 2:24 " Kwa hiyo
mwanamume atamwacha baba yake na
mama yake naye ataambatana na mkewe,
nao watakuwa mwili mmoja."
Binti: Jamani we mkaka. Inakuaje unajua
maandiko kiasi hicho?
Jamaa: Yoshua 1:8 "Kitabu hiki cha torati
kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari
maneno yake mchana na usiku, upate
kuangalia kutenda sawasawa na maneno
yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo
utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo
utakapositawi sana."
Binti: Wowwww! Naona unampenda sana
Mungu.
Jamaa: Zaburi 34:8 "Onjeni mwone ya
kuwa Bwana yu mwema; Heri mtu yule
anayemtumaini."
Binti: Mh! Haya bwana. Basi nipe muda
nifikirie ombi lako.
Jamaa: Wafilipi 4:8 "Hatimaye, ndugu
zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo
yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki,
yo yote yaliyo safi, yo yote yenye
kupendeza, yo yote yenye sifa njema;
ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri
yo yote, yatafakarini hayo."
Binti: Mh! Jamani wewe, haya, nimekubali.
Mpaka hapo nakupenda tayari!!
Jamaa: Ufunuo wa Yohana 22:21b "Amina

mh!! jamani hii sijui nani ana haki miliki maana hata kwenye wall ya Masanja Mkandamizaji kule fesibiku ipo kama ilivyo (copyright).
sometimes jamani muwe mnatoa na source kama wafanyavyo ma-great thinkers siku zote
 
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi?
Binti: Hapana. Sina mpenzi.

Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
Binti: Lakini mimi sikupendi jamani.

Jamaa: Waraka wa kwanza wa Yohana 4:8 "Yeye asiyependa, hakumjua Mungu, kwa maana Mungu ni upendo."
Binti: Mh! Mi ntajuaje kwamba na wewe unamaanisha hayo maneno?

Jamaa: Injili ya Mathayo 12:34b "Maana, kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake."
Binti: Jamani leo...
 
Mtoto wa mwalimu nyerere unawaza mapenzi? Dah dunia imeisha kwa kweli
 
Khaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Akichomoa huyo lazima atakua ni mgonjwa!!!!!!!!!!!!

cc: Paloma !!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom