Mmmmmmhhhhh makubwa!
Kasome wimbo uliobora mkuu...ujionee sound za king solomon...!!!!Siamini kama Biblia ipo kwa ajili ya ANASA dogo!
Mtoto wa mwalimu nyerere unawaza mapenzi? Dah dunia imeisha kwa kweli
we kauzu sana
Wee jamaa noma, unataka uwale wotewote.kwisha habari yao hapo nameza mistari ya biblia weka na ya kule kwingine kwa ponda ili niwe competent kote kote