Kwa staili hii, unagongewa shtuka

Kwa staili hii, unagongewa shtuka

Mabahili wakubwa nyie,,,,,, pesa ndo kila kitu

Tafuta na wewe kama unaona ndiyo kila kitu., ila sio kwa style ya kuhongwa alafu utulivu ziro., kumbe ndiyo mana mtandao umegeuka kuwa kiburudisho T.express your self
 
Huo ni Mtazamo wako mkuu, awazavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo....wenzio tushaacha kuwaza mambo ya kugongewa tunatafuta pesa na hatuongi ng'oo kwasababu hata Mswati aligongewa na Ukwasi wote alionao, Mwanamke kugongwa ni Tabia tu hata umpe nini,kuna dada zetu tu nawajua wavumilivu mno....thread ya kitoto sana
 
Hapo nani ni fala? Anayetoa fedha na kugonga mzigo au anayegongewa na hatoi fedha lakini mzigo anapiga kama kawaida?
Hawa ndugu zetu swala la kuruka fensi ni Tabia ya mtu tu, hata umpe Dunia yote, kama anatabia hiyo, atagegedwa tu.
 
Haya fanyeni biashara na miili yenu kisa kuhudumiwa ndo utoe uchii ?
 
Kwenye sayari hii unahonga wanawake utashona mpaka viraka matakoni lakini utagongewa we jiulize mke wa kigogo TRA anagongwa na muuza mkaa jiulize huyo kigogo anaacha shilingi ngapi mezani anapokwenda kazini? Muache kujipigia promo na tena nasema hivi usijekuleta uzi unaofanana na huu nimetafuta neno la kukwambia nimekosa. Hakuna mwanamke anayeridhika hata siku moja.
 
Very interesting! wahongaji wengine, wagongaji wengine.
Tena mtu anamhonga demu na demu anamuwezesha mchizi wake. Hizi porojo za kuhonga siyo za kupewa nafasi kabisa
 
Mgongwe tu..! maana hakuna namna nyingine, ukisha onja nyama ya binadamu huwezi kuacha kamwe.... aliyezoea kugongwa ataendelea kugongwa tu hata ukimpa BOT yote aimiliki yeye mwenyewe
 
Wakaka acheni ujinga, ukitaka msichana wa peke yako mgharamie nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume zao. Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba, ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy please ukiweka nicheki" umekwisha.

Anakueleza shida zake unasema "mpenzi vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeisha, ujue ulivokata simu umefatiwa na bonge la msonyo ka sio tusi, yani ww kama ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa, nakuapia unagongewa, unamuona dem wako kasuka, kapendeza na hana kazi umekazana bby umependeza,

We fala ujue mume mwenzio kaweka nguvu so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana, service inakua kwa anayehudumia. Hakuna msichana wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda Jumapili mpaka Jumapili we mhonge tu uone heshima. Foward kwa wakaka wote, inauma ila ndo ukweli.

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
maneno yako kwangu hata hayaniingii akilini, kwani mi nilimkuta bikira!?, hao waliokwisha piata kabla yangu je kama bado wanamawasiliano na huwa wanakula kisela afu mi ndo niache kujenga maisha yangu nikae nagharamia mwanamke ambaye sijamvisha pete ya ndoa, huo uboya sifai nitampa hela kiasi tu ila sio kila ombi litokalo ktk kinywa cha mwanamke ni nitoe hela mwisho wa siku anaolewa kwingine.
 
Wito Wanawake someni alama za nyakati huu msimu wa hapa kazi tu"Na sio kuhongwa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom