Kwa staili hii, unagongewa shtuka

Kwa staili hii, unagongewa shtuka

As long as papuchi nitakua napata, mi sina shida na kugongewa, kwanza kitendo cha kutaka demu umgonge mwenyewe wakati kuna wwngine wanahangaika na sabuni hadi mashine imechubuka ni ung'ang'aniaji wa madaraka.
 
Ile kusema wanawake ni ubavu wa pili wa ME...haipo mmekuwa ni ubavu wa pili wa hela,pesa,fedha,mkwanja,chapaa,mkwanjaaa.....ila ukiwataka ndio uwekeze kihivyo kwao....lakini kama huna haja nao ni kuinvest kwa mliekubaliana......ni kama zao la bot mnavypenda pesa khaaaa....!!!!!#
 
mi ndo mana sku hz staki permanent girlfriend, nkishatafuna mara moja bs napotea gafla mana najua huduma siziwezi
 
Mbona tunagonga kisela tu, sihongi kizembezembe. As long as mwanamke hata umilikishe BOT na makusanyo yote ya TRA na Bandari utagongewa tu. Wengine kugongwa hovyo ni hobi waliyozaliwa nayo.
Kweli kiongozi lazima ubalance haya mambo. Kuna wanawake wanapenda dyudyu balaa. Yeye kuto..bwa ni moja ya starehe yake kubwa bora umnyime chakula
 
Baadhi ya wanawake wanamitamaa tu ingekuwa tatizo kuhongwa basi wake wa madosi wangekuwa hawagongwi maana %kubwa kila wanachokihitaji hukipata kwa wakati .
 
Mwanamke mwenye akili na anaejitambua hawezi kugongwa kizembe hivo, hao wanaogogwa ni wazi kuwa wanajiuza tu.
 
Kweli Magu kabana balaa,....enzi za JK hamkuwa mnapiga debe kwenye mitandao kama sasa hivi,.....Na hiyo ni mwanzo tu....Kama hamtajitafutia za kwenu basi bei elekezi lazima iwe 2k.
 
Lakini bado nafsini mwake utabaki na nafasi
Jamani tufanye kazi, kutegemea wanaume ilikuwa zamani.Yaani wewe na mr. wako mnafanyia ofisi moja na mnalipwa sawa bado unataka kuhongwa? wewe zako wampa nani? sikubalani na kuhongwa labda kupewa zawadi tu ambayo siyo lazima.
 
Cha Msingi Kama Bado Sina Uwezo Wa Kuhonga Sikai Katika Relationship.

Sababu kama ni kugegeda nitagegeda sana tu tena kwa uhuru zaidi kama sipo kwa relationship.

Loose balls ziko mingi sana usitishike na mavazi au fake attitudes, asubuhi tuko now huku mtaani hawana kitu ni kugegeda tu nyuma ya nyumba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom