MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
Wewe usiwadanganye wenzako.Unaweza kumhonga bae na akamegwa kama kawaida.
Lakini hata akikuacha atakumbuka kuja kulipa fadhilMpe pesa mpe pesa mpe pesa mpe pesa weee mpe pesaa tuuu mpe tena na tena lakini km wa kuachia ataachia tuuu sababu wameumbwa hivyo kuwa na roho ya huruma so ucdhani wasiotoa pesa hawapati wanamega kisela shtuka nawe pia
Lakini bado nafsini mwake utabaki na nafasiWewe usiwadanganye wenzako.Unaweza kumhonga bae na akamegwa kama kawaida.
Utamtafuta mnyonge wako na wewe umgongeeUlichoandika ni kweli lkn kugongewa hakuna kanuni.
Tajiri na maskini wote wanagongewa. Hata km upo vizuri kitandani kiasi gani utagongewa tu. Hii ya houseboy kumla mke wa boss utaiweka ktk kundi gani?
"HAKUNA KANUNI YA KUGONGEWA"
Unaweza kuficha ID ya kike ila siyo mawazo/maandiko ya kike.Hakuna mwanamke hapa
Wewe ni mgeni sana Wa mapenzi. Una umri gani?Lakini bado nafsini mwake utabaki na nafasi
Pesa ni kila kitu,ni kweli,Fanya kazi uzipate sio kuchungulia mwanaume atakuletea nini. Nyakati hizi ni mpya, Wanawake nao wanastahili kuwa na nafasi sawa na mwanaume kijamiiMabahili wakubwa nyie,,,,,, pesa ndo kila kitu
Acha utegemez Fanya kazi ww .....Bora utusaidie kusema,
mana kuna wanaume hawajui kujiongeza, utakuta upo nae kutwa nzima unajisemesha tu 'hanie nywele zangu si zimefumuka eeh' asa mtu badala akupe hela ya salon anabaki kukwambia ndiyo.
Alaf kakaa kimya,aarrrgh inakera.