Kwa staili hii kwanini Wachina wasitumalize?

Kwa staili hii kwanini Wachina wasitumalize?

Usiombe ukawa mfugaji wa mbwa halafu ukaoa mchina ipo siku utakuta anakuambia "Baby surprise"!! Huku anakuonyesha ngozi ya mbwa wako hapo bado hujaingia ndani kupokea mshangao wa rosti ya mbwa wako uliemuita Cheetah!,kashushwa vyeo kuwa mlinzi mpaka kuwa kitoweo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hahahaaaaa nimecheka sanaaa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utotoni nilikua naipenda sana nchi ya China, nilitamani sana siku moja niende mji wa Canton (sasa hivi waitwa Guangzhou). Sababu kuu ilikua ni muvi za kichina hasa za Jet li..
Ila nilipokua nikajua roho mbaya zao. Hapana wanipite mbali tena sasa hv nikiwaona sioni mtu naona Corona tu!
Mchina,Muhindi na Muarabu ni viumbe wa ajabu na hatari tunaoishi nao humu duniani hasa sisi weusi.
Acha korona iwanyooshe
Binafsi nimewahi kuishi China kwa takriban miaka 3. Kwangu wachina ni watu poa sana huwezi kuwalinganisha na wazungu. Nimetembea miji kadhaa China sijawahi kuhisi kubaguliwa tofauti na wazungu.
 
Mungu aliweka utaratibu mzuri kipi kiliwe na kipi kisiliwe

Hamsikii
 
Back
Top Bottom