Kwa staili hii kwanini Wachina wasitumalize?

My Son drink water

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,126
2,000
Wachina ni moja ya jamii za ajabu kabisa hapa Duniani, ukitoa Roho za kikatili walizonazo Wachina wanakula vyakula vya kutisha ambavyo ndo chanzo cha magonjwa Kama Corona Virus.
Hebu Tazama vyakula vyao hawa watu. 20200312022229_732808760_474_355_webp.jpeg 20200312022229_1049888017_474_316_webp.jpeg 20200312022229_-711825001_474_316_webp.jpeg 20200312022229_-2009921243_474_266_webp.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KENZY

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
10,940
2,000
Usiombe ukawa mfugaji wa mbwa halafu ukaoa mchina ipo siku utakuta anakuambia "Baby surprise"!! Huku anakuonyesha ngozi ya mbwa wako hapo bado hujaingia ndani kupokea mshangao wa rosti ya mbwa wako uliemuita Cheetah!,kashushwa vyeo kuwa mlinzi mpaka kuwa kitoweo😂😂😂🤣
 
Jang-Bogo

Jang-Bogo

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
2,493
2,000
Binaadamu wote wanaotoka bara la Asia (Mongolian races) nawachukia mno.
Bora uwe mtumwa kwa mzungu kuliko kua mfanyakazi bara la asia
Chuki binafsi haijengi mkuu.Wachululie poa tu na ujihadhari nao pale unawahis kama ni hatar kwako
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,375
2,000
Chuki binafsi haijengi mkuu.Wachululie poa tu na ujihadhari nao pale unawahis kama ni hatar kwako
Utotoni nilikua naipenda sana nchi ya China, nilitamani sana siku moja niende mji wa Canton (sasa hivi waitwa Guangzhou). Sababu kuu ilikua ni muvi za kichina hasa za Jet li..
Ila nilipokua nikajua roho mbaya zao. Hapana wanipite mbali tena sasa hv nikiwaona sioni mtu naona Corona tu!
Mchina,Muhindi na Muarabu ni viumbe wa ajabu na hatari tunaoishi nao humu duniani hasa sisi weusi.
Acha korona iwanyooshe
 
O

owomkyalo

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
3,043

Hila nyie weusi mnaongoza kwa uchawi
 
Goddess

Goddess

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
6,323
2,000
Wachina wanaroho mbaya kama mm naetamani kula nyama ya chura na kakakuona sijui ntaipata wapi konokono wa majini tayar bado nchi kavu
 
Mr.Junior

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,218
2,000
Hawa jamaa wametuletea gonjwa la ajabu sana.

Hivi unaanzaje kula supu ya popo?
 
Lucas Mobutu

Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
12,944
2,000
Binaadamu wote wanaotoka bara la Asia (Mongolian races) nawachukia mno.
Bora uwe mtumwa kwa mzungu kuliko kua mfanyakazi bara la asia

Uliza wanaofanya kazi kwa wachina humu wanayajua..Hasa wakenya
wakenya wanachapwa viboko🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
sindesunde

sindesunde

Member
Dec 21, 2018
98
150
hometown

hometown

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
293
500
Mimi nataka niwa karibishe huku kwetu.nasumbuliwa Sana na nyoka usiku.yaan siku haipiti tuna uwa nyoka,Ila ntajiadhari na mkataba wakimaliza tu kuwala na wakaisha warudi kwao,Tafadhari I mwenye mashine ya kupimia Corona aniazime

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
34,720
2,000
Licha ya hivyo,wakati wazungu hawajatuma msaada italy,wachina wao wamepeleka msaada mkubwa japokuwa wait wenyewe wanakabiliwa na Hilo janga,
Huku marekani wao wakizuia kabisa usafiri wa abiria toka europe
 
mr chopa

mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,915
2,000
Utotoni nilikua naipenda sana nchi ya China, nilitamani sana siku moja niende mji wa Canton (sasa hivi waitwa Guangzhou). Sababu kuu ilikua ni muvi za kichina hasa za Jet li..
Ila nilipokua nikajua roho mbaya zao. Hapana wanipite mbali tena sasa hv nikiwaona sioni mtu naona Corona tu!
Mchina,Muhindi na Muarabu ni viumbe wa ajabu na hatari tunaoishi nao humu duniani hasa sisi weusi.
Acha korona iwanyooshe
Umemsahau na mzungu aliewauza babu zetu Kama mbuzi na kujenga zoo za kuonesha watu weusi Kama wanyama mpaka leo weusi wanarushiwa ndizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mr chopa

mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,915
2,000
Licha ya hivyo,wakati wazungu hawajatuma msaada italy,wachina wao wamepeleka msaada mkubwa japokuwa wait wenyewe wanakabiliwa na Hilo janga,
Huku marekani wao wakizuia kabisa usafiri wa abiria toka europe
Mi kwangu mzungu ndio namuona shetani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom