Kwa staili hii kina dada mtaumia

Kwa staili hii kina dada mtaumia

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana Jamvi hili nadhani mko poa.

Nikupeni story kwa ufupi nimekutana na mdada mzuri sana 6/9/2015 akanisimamisha nimpatie lift nikasimama na kupatia lift katika gari safari ilikua ndefu dada kakaa mbele pale nikamuona yuko doro ikabidi nianze kumsifia ajisikie kua nae ni msichana baada ya muda akaniuliza kua nitarudi ninakoenda nikamuambia ndio ila sitokawia sana akaniambia ukirudi nipe lift tena nikamuitikia wakati wa kushuka akaniomba namba kwa lengo la akifika ile sehemu aniulize kua nimeshapita ama laaa sikua na hiana nikampa.

Basi kaja kunipigia usiku eti oooooo nilipanda daladala nikamjibu sio shida akajishebedua pale nikahisi anataka haa angalau adoewe maaana hakua na story nikasema ngoja nijiangalie swaga zangu na kichinchiri bado zinaibua mtoto kajaa teleee mabusua na sms za mapenzi na kulazwa unono kama tumejuana mwezi.

Leo 7/9/2015 nimeamka sms kibao za asubuhi njema mara simu heeee nikajua kua nishaepua shida jikoni kwa mtu basi kufika jioni ikaja sms" BBY I LOVE" nikasema wacha niwe ----- nikajibu "ME TOO" baada ya masaaa naona sms "BBY KAMA KWELI UNANIPENDA NIPELEKE SHOPING NIKACHAGUE NITAKACHO AMA NINUNULIE SIMU YA WHATSAPP"
ivyo huyu DEMU KANIONA MI NATOKA MERERANI?

Kama ni gari basi nishavuta HAND BREAK wacha nikimbie ila mademu mapenzi ya maslahi yashapitwa na wakati badilikeni?
 
mie wa aina hii mbona huwa hawaji?,akija lazima aibuke na cheni bandia
 
ni kweli ila huku kwetu zanzibar dini imetupa maadili ya kusaidiana maaana atumishi wa uma wote hudoeya lift kuenda na kurudi kazini
 
Wabadilike kinadada wote au huyo aliyekuwa mawindoni ukaibuka nae??
Wabadilike wote....Ila hivi ndo viashiria vya vijana wengi kutokuwa na ajira yaani mdada ukijichanganya kwake sekunde tu yeye anachukulia hiyo kama fursa ya kupata kipato....Balaa inakuja wakikutana na Wakina Papaa.ye anaomba shopping anapelekwa Nairob kufanya shopping imagine wakiwa huku Nairob kwenye vyumba vya wagen unadhan mdada ataambiwa afanye kitu chochote akatae?
 
mahirtwahir

Mimi Ndiyo Maana MADEMU Wa DIZAINI Hiyo Huwa NAWAFUKUA TU UVUNGU Wao Na Kiukweli NINAWAKOMESHA Mno.
 
Last edited by a moderator:
Mlikuwa unguja? kudoea kiswahili cha unguja
we watokea mwembe mimba?
 
Kimbia sana kutoka alipo huyo ni opportunist tu, hana lolote, hata hiyo lift aliomba ya kuzugia tu ili ajaribu bahati yake nawe ukajilengesha.
 
Mkuu usingetoa namba.
Wengine majini kaka. Luku vere.
Shauri yako.
Mtajikuta mnapotezwa buuuureeeeee.
mahirtwahir
 
Last edited by a moderator:
yani laki moja na ishirini inakufanya unatokwa na maneno balaa embu mpeleke mtoto shoping
 
Back
Top Bottom