Kwa staili hii kina dada mtaumia

Kwa staili hii kina dada mtaumia

daa ananjaa huyo...!! hebu mvutie kasmartphone naye a-improve standard halafu mpotezee maana yawezekana naye alikuwa mawindoni
 
nimeshajifungua niko home nanyonyesha bestito niletee pampers za mtoto basi yaani hapa niko jela mpaka oct
nahisi hata uchaguzi sitashiriki navyoona

WE WE WE WE....KUPIGA KURA UACHE!!!!!! HAUKO SIRIAZ....

mtoto ana kilo ngapi aisee nikuletee pampers mara moja!
 
Hahahahahhaaaaa ukinituimia lile gari lako la verosa nitakwenda kupiga kura hahahahahaaa
we we we we....kupiga kura uache!!!!!! Hauko siriaz....

Mtoto ana kilo ngapi aisee nikuletee pampers mara moja!
 
Back
Top Bottom