Kwa staili hii kina dada mtaumia

Kwa staili hii kina dada mtaumia

Sie tushabadilika zamaniiiii huyo bado analogia now digitaliiii ......ulikutana na analogia kaka
 

Attachments

  • 1441702802900.jpg
    1441702802900.jpg
    19.8 KB · Views: 144
Last edited by a moderator:
Duh Hatarii!!Lift Katoa Bado Mnamuita Mchoyo,wakat Nyie Kutoa Hcho Chenu Wagumu Kishenz..Sasa Day 1 Tu Anataka Kwenda Shopping Nayey Day 1 Angeomba Mchezo Angepewa?
sasa kama kajitoa kwa nini anyimwe? sema pia asingepewa mapema raha ya kuomba papu ni kuringa ringa nao
 
Last edited by a moderator:
"Kama unanipenda Ninunulie simu ya whatsapp " Dah! Mkuu unabeba watoto wa shule? They sound like words from a person who lacks experience or good judgement. Someone who is stupidly innocent, someone too down to earth!
 
Hivi hizi simu za whatsap zimetoka lini? Nami nikazicheki nione muundo wake
nimwambie laaziz aninunulie ati hahahahahahahhaaaaaaaaaaaa

Hahahaaaa! Hizi zitakuwa mpya aisee, sijui zinauzwa ghali kuliko gari maana mwenye gari kashindwa kuinunua.
 
Sio kweli hakuna mdada mlahisi kiasi hicho, ulisimamamisha gari mwenyewe nakumwita, malaya ndio mwenye tabia hizo. Hakuna dada wa hivyo kwa sasa, mikopo mingi michakato mingi. Binafsi Japan nilituma majina yangu nikiwa na foolish age. Now nina 30 kuendelea sijawah kuona wala kusikia wa style hiyo.. ukibisha utabisha kuandika ila moyoni unajua ukweli. Hivi ukiandika ukweli kuna tatizo?
 
Siku hizi wanawake wamekuwa warahisi sana.
Kuwapata ni kama unaangusha mgomba.
 
tuna taka utawala wa magufuri ili kilakityu bule .... hadi mapenzi bule

Hamna Huyo Sio Magufuli, Lowassa Ndo Kila Kitu Bure....Magufuli Kila Kitu Kazi Tu,fanya Kazi Upate Chako,toa Mzigo Nikupeleke Shopping,nkupe Na Simu Ya Watsapp...
 
Hapo mmekutana wote wawindaji, unaanzaje kumpa lift, namba ya simu mtu umekutana naye tu, unless ulikuwa na matazamio fulani. eti unasema ujikumbushe skills zako za ujanani, huyo naye wakutumia skills hapo si ni sawa unafukuza kuku wa kizungu! inaonekana ulivutika kwake ila hukutaka Gharama!
Mwenzako naye muwindaji, na cha msingi saana anacho winda kwa sasa ni pesa mengine yatakuwa matokeo tu, alichokosea step ni kuto kutathmini anaongea na mtu wa namna gani, na je amvute kwa kasi ipi ili aje amkamue sawasawa, kwataarifa yako ukikutana na wanaojua kuku vuta pole pole laki tano asubuhi ukiombwa utaikopa hata kama hauna. mdada wa watu kaosea tu timing, pengine kwa shida alizo nazo.
Both of you your victims of circumstances and you have challenges to sort out
 
Simu ya whatsapp!!? that's too low... what a turn off

huyo demu anaujaluo bado, she could have some standards


Haha haha haaaaaa! wewe huoni tu alivyo mpa lift chapchap!!!!!!! Aina ya hao ndo type yake!
 
Back
Top Bottom