englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Inaelekea labda ulikuwa mtundu sana enzi hizo za primary schoolKuna siku shule tulilazwa darasa zima hivo kisha akapita mwalimu akatembeza bakora za ------!Niliondoka hapo nimevimba ----!!Kosa sijui tulikuwa tunafanya kelele tukaadhibiwa wote lol...
Hapana mkuu nilikuwa na nidhamu sana,labda itokee tuadhibiwe darasa zima kama nilivyosema hapo ndio na mimi nakuwa mkumboni!!Inaelekea labda ulikuwa mtundu sana enzi hizo za primary school
Kuna siku shule tulilazwa darasa zima hivo kisha akapita mwalimu akatembeza bakora za ------!Niliondoka hapo nimevimba ----!!Kosa sijui tulikuwa tunafanya kelele tukaadhibiwa wote lol...
Sawa mkuu miaka ile niliyosoma mimi hizo collective punishments zilikuwa kawaida sana kama darasa lenu limejaa mitoto mitundu nyie mtaishia kupata mboko kila kukicha.Hapana mkuu nilikuwa na nidhamu sana,labda itokee tuadhibiwe darasa zima kama nilivyosema hapo ndio na mimi nakuwa mkumboni!!