Kwa sisi wanywaji , hizi ndo raha za pombe

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wasalaam ndugu zangu !

Mimi ni mnywaji na mlevi kwa miaka 15 wa pombe aina ya beer yaani Safari Lager za baridi, nikiikosa hiyo huwa napalamia bia yoyote kulingana na uchumi na mazingira nilipo.

Binafsi nimeona pombe ina raha zifuatayo:-

1. Inatuliza akili na kusahau baadhi ya shida zinazonikabili

2. Inanipa confidence ya kutenda jambo zuri au baya kwa mtu yeyote bila kujali status ya mtu huyo

3. Huwa inarahisha maamuzi magumu kuwa mepesi mfano kununua mashamba , kujenga nyumba , kununua usafiri na

4. Inanipaga ujasiri wa kufikiria njia za kupata pesa na kuzitekeleza

5. Inaondoaga woga wakati wa kumtongoza mwanamke hata kama awe mlokole, waheshima kiasi gani au swala 5 kiasi gani, awe mkubwa , awe mdogo n.k

HASARA YAKE:

1. Confidence ya kuendesha gari nikiwa nimekunywa huwa nakoswa koswa sana na ajali

2. Nikiwa na mchepuko ni rahisi sana kwenda bila condom. Huu ndo ujinga wa pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza kutumia heroin uone raha tunazopata

Naongea sana kiingereza...
Naahidi watu nitawapa pesa na mali...
Nawaambia watu mimi ndio mmiliki wa jf
Nanunulia bia kila mtu anayenisalimia...
Naanza kulipa madeni hata kama ni saa 8 za usiku, natuma via moneymobile hata kama nadaiwa 100, natuma 200

Nikishaanza kuona wahudumu ni wazuri, basi hapo naondoka bila kuaga, washikaji nawapigia nyie chukueni tu uber kama watakuwa hawana usafiri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kinachonifurahisha kuhusu walevi huwa hawaagi.
Sasa taabu inakuja kwa wale wazee wa lifti .kama umepewa lifti mwenye gari akilewa zake anaondoka tu bila taarifa yaani anaweza kuwa anaenda chooni ghafra mkashangaa mtu harudi.. kumbe jamaa alishapata mchepuko huko huko na amesepa lodge.
 
Kitu kikubwa nilichogundua nikilewa hua najiamini sana..Nagonga English Tyrion Lannisters akasome.
 
Back
Top Bottom