Kwa single ladies tu

Kwa single ladies tu

majigambo

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
20
Reaction score
8
Habari za leo wakuu,

Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke.Akina dada aliye tayari ani pm.

Umri wangu 34yrs.
 
Weka kabisa unamiliki nini,kama gari ya aina gani na rangi yake pia na kama ni nyumba iko mtaa gani na rangi yake pia
 
Mbona maelezo madogo,haya wewe ukoje haiba yako. kabila jieleze. Hilo jina majigambo lina uhusiano wowote na tabia yako?
 
habari za leo wakuu.
Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke...
akina dada aliye tayari ani pm
umri wangu 34yrs.
Mdogo wangu kwa maelezo haya itakuwa ngumu kumpata mtani wa jadi aliye serious. Weka na swagga kidogo ili wakuelewe.
 
Watamani akidhi vigezo vyako. waweza mpm for more information

Vigezo vyangu hatoviweza mkuu...

Kwana we na TemboCard, pili kabati la mbeho, tatu awe na mkoko wa haja kama wa huyu jirani yangu hapa nee nikisema atachanganyikiwa!! ngoja niishie hapa!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom