asubuhi kikombe cha chai ya rangi - shs. 200/-
mchana ndizi mbivu 2 au embe moja shs. 500/=
ugali (dona) unabadilisha mboga - mchicha, matembele, samaki wa kukaanga [hapa unakula nyumbani]
utakula less than 2,000/= na afya tele - hupati kisukari wala pressure
ngozi itakuwa nzuri na hupati kitambi
oaoa
hivi kuna mtu anakula shilingi kweli?
jamani kwani kula kunafilisi?
jitahidi kujipikilisha.
nunua maandazi ukanywee chai kazini.
mchana piga desh
usiku nunua mihogo ya kuchoma
hapo utakula buku kwa siku
Habari
Nina kawaida ya kula nje,nimejitahidi kujibana
Breakfast. 2000
Lunch. 3500
Dinner. 2000
Maji/drinks 2500
Jumla ni alfu kumi
Sasa wadau naomba tupeana maujanja namna ya kubana matumizi hata ikibidi kupika niko teyari lakini vyakula viwe simple maana si mjuzi wa kupika na tufundishane kupika maana hiyo alfu kumi inaniharibia sana bajeti yanngu nashindwa kumudu vitu vingine...nawasilisha
usijifanye hujaelewa.
Mchana ninakuwa nyumbani, kwa sababu niko na pikipiki na ninapofanyia kazi ni karibu na ninapokaa
Kwa kweli siku zote najiuliza hawa tunao waona wana party kila siku na kila siku nguo mpya huku hatuelewi kazi zao hela wanatoa wapi, mfano warembo kama kina Fiderine Iranga na wengine kutwa kwenye facebook, wakiparty nakuoneysha picha pesa hizo wantoa wapi?
Mimi n adhani na matumizi mabaya ya pesa, kwa kwlei nikipiga hesabu naona hali yangu ni mbaya sana mfano
- lunch kama sina marafiki ni 8,000
- Mafuta 20,000
- Washkaji watatu nao wa support kila siku nawapa 5,000 kila mmoja jumla 15,000
- Usiku nikitoka kwa fast foon 20,000
Hapo bado nguo na ma hitaji mengine ya nyumbani najikuta naweza tumia laki kwa siku kw amambo y akawaida tuu.
Au ukitaka kufata formula yangu
chai desh
mchana msosi wa buku 2
ucku home
kwahiyo kwa mwezi max ni elf 50
Wandugu nimehamia shinyanga kikazi, huku 2000 ukila kwa siku ni anasa tena ni dhambi.