mh! hongera mwenzetu ..............ina maana Monday to Friday = 500,000/=??? kwa 20 working days in a month = ..........??? au nimekosea hesabu??? kweli vidole havilingani .........ukumbuke na MA-YATIMA ..... KUWAWEZESHA PIA
jitahidi kujipikilisha.
nunua maandazi ukanywee chai kazini.
mchana piga desh
usiku nunua mihogo ya kuchoma
hapo utakula buku kwa siku
uko sahihi mkuu......mimi nawashangaa wana jf......yaani kichwa cha habari kinajielezaWatu ni vichwa ngumu kuelewa, jamaa kauliza unatumia shiling ngapi kwa siku wa ajili ya chakula hapa kila mtu ameanza kuorodhesha mpaka gharama za vocha,mafuta ya usafiri,nguo, pesa anazotoa kama msaada n.k inawezekana enzi za school maticha walikuwa wanapiga bakora nusu kuua,
na kama ni interview 90% wangekua wamefeli....m
Anyway, me natumia
Breakfast 4000 mpaka 5000 randomly maana menu huwa inabadilika kila siku
Lunch 3000
Vinywaji 3500 (Maji na Red Blue) au Maji na soda mbili (2600) haipo fixed pia lakini maji lita moja kila mchana.
Dinner nyumbani.
Watu ni vichwa ngumu kuelewa, jamaa kauliza unatumia shiling ngapi kwa siku wa ajili ya chakula hapa kila mtu ameanza kuorodhesha mpaka gharama za vocha,mafuta ya usafiri,nguo, pesa anazotoa kama msaada n.k inawezekana enzi za school maticha walikuwa wanapiga bakora nusu kuua,
na kama ni interview 90% wangekua wamefeli....m
Anyway, me natumia
Breakfast 4000 mpaka 5000 randomly maana menu huwa inabadilika kila siku
Lunch 3000
Vinywaji 3500 (Maji na Red Blue) au Maji na soda mbili (2600) haipo fixed pia lakini maji lita moja kila mchana.
Dinner nyumbani.