Mponda 02
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 534
- 508
Hiyo haitaweza kupanda mlima.
Pia ikiwa imepakia watu kwenye hilo tela uzito utakuwa nyuma hivyo tairi linalosukuma/push pikipiki ili itembee litakuwa lina slide bila pikipiki kutembea. Kwenye mchanga hilo tairi litakuwa linanasa/linazunguka kwa kuchimba shimo.
Hapo waliotengeneza wamefeli.