msaada tafadhali
tafta galaxy s4
s4 laki 4? Wapi huko mkuu?
s4 laki 4? Wapi huko mkuu?
msaada tafadhali
s4 used zinapatikana 380,000 zipo nyingi tu mtaani. google galaxy s4 380,000 utaziona kibao na contacts zao.
ila ikitoka s6 ujue warranty za s4 zinaisha hivyo simu zinakuwa sio reliable tena zinaweza haribika
Eti full box,aaahahah! Hizo no michina ndugu hakuna simu samsung s4 iuzwe kwa laki. 4!!! Ukinunua tu imekula kwako..
zipo kaka, kitu gani cha ajabu kwa simu ya mwaka 2013 kuuzwa laki 4?
juzi kuna duka nimepita nimekuta lg g2 inauzwa laki 5. na g2 ni latest zaidi kuliko s4.
Chief-Mkwawa Nokia lumia 820 inauzwa shs ngapi?
sijui kaka pitia pitia madukani, ila nayo imepitwa na wakati toka 2012
kupitwa na Wakati sio Tatizo kaka nahitaji smart itakayoweza kubeba games kama pes.FIFA 15, need for speed na GTA San Andreas Chief-Mkwawa
lumia yoyote yenye 1gb ram inacheza hayo magame. ila game kama san andrea linauzwa na kama unataka kuchakachua kwa lumia inabidi ujiandae.
lumia 1320, 640, 640xl, 730, zinacheza fresh na ni latest na nyengine bei si kubwa sana pengine ni rahisi kuliko hio 820
zipo kaka, kitu gani cha ajabu kwa simu ya mwaka 2013 kuuzwa laki 4?
juzi kuna duka nimepita nimekuta lg g2 inauzwa laki 5. na g2 ni latest zaidi kuliko s4.
Hakuna kitu kama hicho kaka,ukweli nikwamba hizo ni clone tu,sikuhizi samsung nyingi ni clone,simu imeandikwa 8GB internal storage ila ukiweka application 4 tu zenye wastani wa MB 40 tayari imejaa,headfone zinanyofoka nyofoka utazani aliyezitengeneza ni mtoto anajifunza kutengeneza headfone!
Ukitaka kujua ninachosema ni ukweli,ingia kwenye mitandao kama flipkart,na hata samsung wenyewe then cheki bei ndio utajua nini namaanisha! Huwezi kukuta S4 inauzwa $222 au sh.laki 4. Ila ukienda k'koo utakuta simu S4 inauzwa mpaka laki 1.5
Fake!Fake!Fake.
Huo ndio ukweli,sasa wewe kama ni muuzaji basi waambie wateja wako kwamba unauza famba a.k.a clone.