Kwa shida na kwa rahaa

:A S embarassed:whatiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii????????????????????
 
Yap; nawaunga mkono; kama wewe shida yako ni ndoa, liji HUMMER/ ML350 / TUAREG au Limo la kuazima la kazi gani? Kamata bajaji/trekta chukua kimwana wako haooooooooooo kwa raha zenu!
 
Huu ndiyo unaoitwa ubunifu. Siyo watu tunafanya mambo ya kukaririshwa siku zote. Tena na mimi niongezee usafiri mwingine:
 

Attachments

  • Harusi2.jpg
    24.7 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…