Epithelium
Member
- Nov 20, 2020
- 45
- 37
Kwa sasa upinzani wa Tanzania ni wazi uko CCM humo humo na si chadema wala ACT hawa walikwisha kupotezwa,, katika miaka mitano watanzania wamejifunza mambo mengi ambayo pengine ilikuwa ni vigumu kuamini mwanzo kabla ya JPM.
Sasa vyama vya akina CHADEMA na ACT na wengne wanaojiita wapinzani wanashindwa kabsa kuji switch kwenye kasi ile siasa zao hazibadiliki ni zile zile tu tena zimejaaa malalamiko sana na totally wameshindwa kuwaelewa watanzania.
Kama kunaupinzani basi utatoka ccm na hapo kutakuwa na upinzani haswa sio huuu upinzani uliochacha