"Fedha tunazo hii nchi ni tajiri sana na wala hatutegemei misaada ya mabeberu" alisikika mlevi mmoja aliekunywa soda akiropoka na chupa yake mkononi""
Vipi aliyesema ni Kaugonjwa Kakawaida tu?Nimeanza kusoma nikafikir mada nzuri sana kufika chini hovyo kabisa... Kiufupi una mabifu yako tu
Alisema ana hela ya aliyokuwa nayo ni ya miezi6 sasa tunaomba atoe ya mwezi mmoja tu sisi tukae ndani.Punguani fulani!
Kuna watu wanaitetea serikali ya Magufuli lakini nafsi zinawasuta sana, Watafanyaje? Wanatafuta maisha baada ya anguko - JamiiForumsNimeanza kusoma nikafikir mada nzuri sana kufika chini hovyo kabisa... Kiufupi una mabifu yako tu
mishahara tu jasho linawatoka itakuwa hizo walizojitapa zipo .. donors hawana muda tena wa kutoa hela walizoahidi shidaKweli CHADEMA = CORONA!
Tangu 1961 walishindwaje kuinua maisha ya wananchi wao?Nikisoma Takwimu za Madaktari walioathirika na kufa kwa Corona Italy, licha ya kuwa na vifaa vya kutosha vya kujikinga napata hofu.View attachment 1405210
Sent using Jamii Forums mobile app
Huki akiwa ameweka pozi juu ya jiwe"Fedha tunazo hii nchi ni tajiri sana na wala hatutegemei misaada ya mabeberu" alisikika mlevi mmoja aliekunywa soda akiropoka na chupa yake mkononi""
Sent using Jamii Forums mobile app