Kwa sasa ndio tutajua kama tuna uchumi wa Tanzania ulikuwa asilimia 7 ama hata asilimia 1 tulikuwa hatujafika

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
3,939
2,000
Habari wadau.

Nyuma ya Keyboard kumejificha Umri, nyuma ya Keyboard kumejificha Tofauti ya Elimu , Nyuma ya keyboard kumejificha tofauti ya Kipato, Nyuma ya keyboard kumejificha uzoefu , Nyuma ya keyboard kumejificha Ujuzi , Nyuma ya keyboard kumejificha wasaidizi.

Viongozi wa serikali tafakari.

ili ujue kama kuna convid19 au hakuna ni mpaka uchukue sample ya watu na upime..
maana watu wanaweza kuwa na virus lakini ni domant.. yaani ni carrier tu..
kwa hiyo kama hupimi kipimo cha convid19 huwezi kujua kirahisi! na Dalili za kuambukizwa zimekaa kama za Malaria. Ikiwemo kuumwa viungo vya mwili + homa + mafua makali ambayo sio kawaida yake wewe kupata!

Ni mbaya zaidi ukipata covid19
halafu ukawa na matatizo mengine ya kiafya..
ikiwemo utapia mlo,hiv/aids/kansa/Pumu.. na ukiwa na umri mkubwa
(Uwezekano wa kufariki ni mkubwa zaidi)

Kipindi cha JK wakati anagawa Neti kwa kaya masikini Msodoki aliomba Tugawiwe na Vitanda ni muda sasa wa Kumuomba Jack Ma wakati analeta madawa alete na chakula ( Hata ile mikate ya wanajeshi) unakula Leo unashiba siku 3

Duniani kote sasa hivi Matajiri na watu mashuhuri wanasaidia nchi zao na hata nchi jirani kwa kuchangia kiasi cha fedha na vitu tofauti kudhibiti maambukizi ya CoronaVirusTz huku kwetu nini tatizo mbona matajiri wamepiga kimya?! Au vyuma vimekaza? lakini rais uliyemchagau anasema hivi


Lakini sio matajiri tu mpaka serikali hali yake mbaya kwasasa ndio maana tunaweza kufa kama ugonjwa huu utaendelea kwa siku za mbeleni.

Nauliza kauli za serikali kuwa uchumi wetu unapanda kwa asilimia7 ni kweli au .....?

Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja - JamiiForums

Kikwete alikuwa anatumia uchawi gani!? Maana kodi alikuwa hakusanyi lakini aliweza kupandisha mishahara wafanyakazi - JamiiForums

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea - JamiiForums

Kuna watu wanaitetea serikali ya Magufuli lakini nafsi zinawasuta sana, Watafanyaje? Wanatafuta maisha baada ya anguko - JamiiForums


mr mkiki .
 
Top Bottom