Shida ni kutaka habari unazozipenda wewe,utachukia kila chombo cha habari eti kwa sababu hakijareport kitu unachokipenda wewe!Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
Maagizo kutoka MagogoniSiku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
One of awful TV ever in history of TanzaniaSiku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
Unajua kuna wakati huwa najiuliza vyama vya upinzani eapecially Cdm huwa wanaondoa nini kwenye vichwa vya wafuasi wake? Mnaishi kwa malalamiko na mnapenda kuhurumiwa sana, kipindi cha uchaguzi 2015 mliwashabikia sana ITV na kuwaponda Star tv kisa ITV walikuwa upande wenu, leo hawataki huo upuuzi wanaangalia biashara, wewe unapiga kelele, unadhani hawa wapo kukufurahisha wewe tu? Wanafanya biashara hawa ukumbuke. Acha tabia yakuangaika kutafuta support za TV tafuta pesa.Siku hizi ITV nayo imekuwa kama TBC kwani habari zao siku hizi ni kuipongeza tuu serikali na kutotoa kabisa habari za upinzani hili ni janga kubwa kwa vyombo vya habari hasa hicho chombo kinachojiita Super brand,binafsi kwa upande wangu naona Azam two wapo vizur na wanastahili kuwa super brand kwani wanatoa habari kwa kuzingatia objectivity ethics
Maskini urimbukeni. Unadhani Citizen itatangaza habari za Kiruvya,Kivule au Kishumundi?citizen TV ya Kenya na ktn ndio channel bora kwa sasa Africa mashariki.
Sasa kama hakuna cha kuwapongeza ITV iwapongeze tuuuuu?