Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko
Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini
Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao
Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana
Only Tanzania kuna mambo kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe msiba ni wa unduguHivi unauelewa muungano wa hao watu wawili?
Unajua kama Mama Mdogo wa taifa aliyefanya iwezekane ni huyu jamaa?
Bombandier zimekua mali ya mtu anauwezo wakuamua impeleke nani na ifanye niniMh. Rais Kama katoa Fedha kuwapa ATC kusafirisha Msiba wa Ruge nampongeza kwa hatua hiyo LAKIN Kama katoa 'dokezo' la Maelekezo tu ATC wasafirishe Msiba si Sawa kwa Kuwa Maelekezo Na Miongozo ya namna hiyo ndio yanaua Mashirika ya Umma Mara zote
Mh. Rais Kama katoa Fedha kuwapa ATC kusafirisha Msiba wa Ruge nampongeza kwa hatua hiyo LAKIN Kama katoa 'dokezo' la Maelekezo tu ATC wasafirishe Msiba si Sawa kwa Kuwa Maelekezo Na Miongozo ya namna hiyo ndio yanaua Mashirika ya Umma Mara zote
Nina hakika hakutoa hata senti au kama katoa basi iwekwe hadharani katoa kiasi gani kwenda na kurudi na katoa kutoka fungu lipi.
Ni mali yao kwani hata ununuzi walifanya wao bila idhini ya Bunge hata faida wanapata wao peke yaoBombandier zimekua mali ya mtu anauwezo wakuamua impeleke nani na ifanye nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujifinze kuto kuwa na mihemuko tupate pia elimu za nyakatiRais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko
Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini
Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao
Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana
Only Tanzania kuna mambo kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko
Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini
Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao
Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana
Only Tanzania kuna mambo kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Ni Maelekezo tu Basi tujiandae kwa sanda maana ATC itakufa kabla haijavunja ungo
Mama wadogo wa Taifa wapo wawili, hebu kuwa specific, je ni yule mweupe mnene au yule mwembamba mwenye kinukta!!!???Hivi unauelewa muungano wa hao watu wawili?