technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Rwanda ameshapigana vita gani na ni jeuri gani aliyonayo?Sidhani kama unajua jeshi vizuri!kuzungukwa pande zote sio hoja ya ushindi kwenye medani za kijeshi!bali mbinu na uimara wa jeshi husika..mfano mzuri ni rwanda!imezungukwa kila kona na ni ka nchi kadogo lakini kana jeuri kupita maelezo..Hebu tafakari tena!
Nimezungumzia jeuri sio vita!Huu ukanda wetu una utulivu lakini angalia au jikumbushe mikwara ya kagame..Hata hivyo mfano huu unaweza kuufananisha na mataifa ya mashariki ya mbali..Utagundua kitu kwa niliyokueleza..Rwanda ameshapigana vita gani na ni jeuri gani aliyonayo?
Vita sio mikwara......Nimezungumzia jeuri sio vita!Huu ukanda wetu una utulivu lakini angalia au jikumbushe mikwara ya kagame..Hata hivyo mfano huu unaweza kuufananisha na mataifa ya mashariki ya mbali..Utagundua kitu kwa niliyokueleza..
Jeuri si uwezo.Sidhani kama unajua jeshi vizuri!kuzungukwa pande zote sio hoja ya ushindi kwenye medani za kijeshi!bali mbinu na uimara wa jeshi husika..mfano mzuri ni rwanda!imezungukwa kila kona na ni ka nchi kadogo lakini kana jeuri kupita maelezo..Hebu tafakari tena!
Nimezungumzia jeuri sio vita!Huu ukanda wetu una utulivu lakini angalia au jikumbushe mikwara ya kagame..Hata hivyo mfano huu unaweza kuufananisha na mataifa ya mashariki ya mbali..Utagundua kitu kwa niliyokueleza..
mkuu may be uko sahihi...lakin ukishakua landlocked tu tayar inakua ngumu sana kusnda vita na majiran zako....vita sio kupigana tu ugumu utakuja pale kwa kununua silaha zngne kujazia zilizopungua sijui ztaingia vipi sasa maana huwez kutumia airspace ya mtu unaepigana nae..........Sidhani kama unajua jeshi vizuri!kuzungukwa pande zote sio hoja ya ushindi kwenye medani za kijeshi!bali mbinu na uimara wa jeshi husika..mfano mzuri ni rwanda!imezungukwa kila kona na ni ka nchi kadogo lakini kana jeuri kupita maelezo..Hebu tafakari tena!
Hivi hakuna njia nyingine yoyote ya kumfanya Jammeh aachie madaraka zaidi ya kumvamia kijeshi?
Gambia ni nchi ndogo sana na uchumi wake ni wa biskuti, mkiwawekea vikwazo miezi mitatu tu ni lazima uvunjike.
Kimkakati uvamizi wa kijeshi ni njia ya mwisho endapo njia nyingine zimeshindwa.
Wanaweza kuvamia The Gambia na kusababisha majanga makubwa zaidi hata ya Jammeh.
Yahya Jammeh amejiongezea miezi mitatu wakati akijua kabisa hawezi shinda vita yeyote itakayoanzishwa na nchi hata moja tu ya west Africa.
Senegal pekee Kwa ramani hii anaweza kuipiga Gambia hata ndani ya wiki moja hivi unawezaje kuipiga nchi ambayo imekuzunguka kila upande?....
Hivi nchi kama hii Kwa geographic location aliyonayo wanaweza kupigana na nchi zaidi ya moja tena zilizo Jirani Kwa muda mrefu bila kusambalatika?...
Ningekuwa msashauri Wa Jammeh ningemshauri ahachane na mpango wake Wa kutaka kuanzisha vita na Senegal, Nigeria na Liberia wakati anajua kabisa hatashinda.....
IsraelSidhani kama unajua jeshi vizuri!kuzungukwa pande zote sio hoja ya ushindi kwenye medani za kijeshi!bali mbinu na uimara wa jeshi husika..mfano mzuri ni rwanda!imezungukwa kila kona na ni ka nchi kadogo lakini kana jeuri kupita maelezo..Hebu tafakari tena!
Utakuwa ni ccm wewe ndo wanamawazo ya aina hii ....Nimezungumzia jeuri sio vita!Huu ukanda wetu una utulivu lakini angalia au jikumbushe mikwara ya kagame..Hata hivyo mfano huu unaweza kuufananisha na mataifa ya mashariki ya mbali..Utagundua kitu kwa niliyokueleza..
Utakuwa ni nyumbu wewe ndo wananaamawazo ya aina hii....Utakuwa ni ccm wewe ndo wanamawazo ya aina hii ....
Ujinga wa nchi za Afrika zinakuwa mstari wa mbele kwenye mambo ya kijinga..Yahya Jammeh amejiongezea miezi mitatu wakati akijua kabisa hawezi shinda vita yeyote itakayoanzishwa na nchi hata moja tu ya west Africa.
Senegal pekee Kwa ramani hii anaweza kuipiga Gambia hata ndani ya wiki moja hivi unawezaje kuipiga nchi ambayo imekuzunguka kila upande?....
Hivi nchi kama hii Kwa geographic location aliyonayo wanaweza kupigana na nchi zaidi ya moja tena zilizo Jirani Kwa muda mrefu bila kusambalatika?...
Ningekuwa msashauri Wa Jammeh ningemshauri ahachane na mpango wake Wa kutaka kuanzisha vita na Senegal, Nigeria na Liberia wakati anajua kabisa hatashinda.....
unaposema akamatwe tu ni nan atakayemkamata na mtu yupo nchin kwake na majesh yake yanamsapoti????????Sioni sababu ya kuumiza raia wasiokuwa na hatika kwa vita isiyohitajika..
Wamkamate tu na kumfungulia kesi ya uhaini kama kaitba ya nchi inazungumza vile. Komando wachache sana wanaweza kumbeba na kumshughulikia akiwa nje ya Gambia ili kuokoa raia wengine. Mauaji hatutaki. Amechinja wengi na ndiyo sabbu ya kukimbilia kuiondoa nchi kwenye ICC as if Wagambia ndio wanataka kiongozi mumiani. Anaogopa kuadhibiwa kwa uaharifu wa kibiandamu ambao amewafanyia Wagambia na hicho ndicyo kinamfanya ang'ang'anie madarakani.
Kikundi chochote kinacholazimisha ushindi ama kubaki madarakani hata kwa njia haramu (mf.), upande wa pili kuna hofu ya adhabu zitokanazo na uharifu kwa raia.
Asomaye na Afahamu
Sidhani kama unajua jeshi vizuri!kuzungukwa pande zote sio hoja ya ushindi kwenye medani za kijeshi!bali mbinu na uimara wa jeshi husika..mfano mzuri ni rwanda!imezungukwa kila kona na ni ka nchi kadogo lakini kana jeuri kupita maelezo..Hebu tafakari tena!