SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
Nazungumzia ladha 'halisi'. Viungo hata haya mataahira yakiungwa yananoga kiuongo uongoLadha ni viungo tu na mapishi
Nazungumzia ladha 'halisi'. Viungo hata haya mataahira yakiungwa yananoga kiuongo uongoLadha ni viungo tu na mapishi
Nawafahamu wala sihitaji tuition yako.Usipotembea Wala kusoma vitabu unakuwa uko gizani unakuwa huna ufahamu wa kutosha unaona dunia Ni hapo ulipo.
Sasa umezoea kuku ana miaka 2 ana nusu kilo, huyo kuku anafika Hadi kg15.
Ladha halisi ipo, sema Ile unayotaka wewe ndio inabidi utie viungoNazungumzia ladha 'halisi'. Viungo hata haya mataahira yakiungwa yananoga kiuongo uongo
Wapo sana hawa. Watu wa Hai wanawajua
We jamaa ongeza zingine basi mfano TWENDE TUKAWINDE, SIZITAKI MBICHI HIZI, MANDAWA NA MANENGE, KULA MNO NI HASARA n.k Umekumbusha tulikotoka.
Hiki kitabu naweza kukipata wapi?Huyu ndio yule kuku aliyembeba Pazi kichwa chini, miguu juu...
Msemakweli achaguliwa kuwa DiwaniWe jamaa ongeza zingine basi mfano TWENDE TUKAWINDE, SIZITAKI MBICHI HIZI, MANDAWA NA MANENGE, KULA MNO NI HASARA n.k Umekumbusha tulikotoka.
Hapa tulipigwa jamani.Huyu ndio yule kuku aliyembeba Pazi kichwa chini, miguu juu...