Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,401
Ukichinja mmoja familia nzima inashiba nyama na kusaza.
We jamaa ongeza zingine basi mfano TWENDE TUKAWINDE, SIZITAKI MBICHI HIZI, MANDAWA NA MANENGE, KULA MNO NI HASARA n.k Umekumbusha tulikotoka.Huyu ndio yule kuku aliyembeba Pazi kichwa chini...
Nyama yake umeshaila mkuu?Hawana ladha halisi ya kuku
Nisaidie kukipata hiki kitabu halafu niambie bei utakayopenda nikulipe ukishakuwa umekipata. Hata soft copy tu inanitosha kabisaHuyu ndio yule kuku aliyembeba Pazi kichwa chini...
Dah!!!, Wewe jamaa ni muongo SanaUkitaka kuchinja lazima mzikunje kwanza ukishinda ponea yako
Wana ladha ya nini sasa??.Hawana ladha halisi ya kuku
Usipotembea Wala kusoma vitabu unakuwa uko gizani unakuwa huna ufahamu wa kutosha unaona dunia Ni hapo ulipo.Hawana ladha halisi ya kuku
Hao ni Brahma hakuna Genetic modification hapo ni kuku wa toka enzi. Mbegu hapa kwetu unaipata kwa 1.5 kwa pairSiku hz ndio maana rate ya magonjwa kama kansa inakua kubwa sana kwa sababu GENETIC MODIFICATION imekua kubwa ..
Tunajikuta tunatengeneza species ambazo zina accumulation ya toxic materials ..
Ladha ni viungo tu na mapishiHawana ladha halisi ya kuku
Huyu ndio yule kuku aliyembeba Pazi kichwa chini...
Hao kuku siyo genetic modified.Siku hz ndio maana rate ya magonjwa kama kansa inakua kubwa sana kwa sababu GENETIC MODIFICATION imekua kubwa ..
Tunajikuta tunatengeneza species ambazo zina accumulation ya toxic materials ..
Ndiyo.