Kwa pamoja tusiache kuliombea Taifa letu

Kwa pamoja tusiache kuliombea Taifa letu

Kuna kipindi Wachungaji mlikuwa mnachukua picha zake na kuzimiminia mafuta ya upako, kisha mnabandika mikono juu ya picha na kushusha maombi ya nguvu. Imekuwaje tena???
Siyo kila mchungaji alifanya hivyo, Mimi nazingatia msingi wa neno na wala si mihemko na mafuta
 
Siyo kila mchungaji alifanya hivyo, Mimi nazingatia msingi wa neno na wala si mihemko na mafuta

Mchungaji naomba nikuulize, kama mtu unayemuombea hana haja au imani na maombi yako, je nikifanya maombi yatamsaidia???
 
Maombi ni muhimu ni njia pekee ya kumfanya Mungu ajihusishe na mambo yetu, tuliombeeni taifa kwa umoja wetu
 
Maombi ni muhimu lkn mchungaji wewe omba kwa niaba yetu maana wengine hata hawajui waombe kwa Mungu yupi
 
Ili Mungu asikilize maombi ya waTZ kwanza viongozi wa dini wawe wamoja, waheshimiane, waache kusemana, ubinafsi, udini na kupenda fedha. Ila nakubaliana nawe mchungaji7 kuwa maombi yanahitajika kwa waTZ. Ongea na wachungaji wenzako kwanza kuhusu hii usikie wanasemaje.
 
Back
Top Bottom