kwa nini yule dada alitoa chozi?

kwa nini yule dada alitoa chozi?

mnyikungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Posts
1,963
Reaction score
2,479
Wana MMU jana nilikuwa kwenye harusi ya ndugu yangu, kwa kweli kuna jambo lilitokea sasa nikiwa kama mtu mwenye akili timamu nimejiuliza maswali mengi sana.
Kuna mshiriki mmoja wa hii harusi alikuwa wakike, huyu dada wakati wa kwenda kutoa zawadi alipomfikia bwana harusi alipompa tu mkono alianza kutoa machozi, bahati mbaya hata leso alikuwa hana, aliondoka akijipangusa machozi kwa huruma sana.
Kutokana na kitendo hicho nikaanza kujiuliza maswali kwa nini kalia? Maswali niliyojiuliza ni:-
Je alipewa taarifa za msiba ghafla? (Lakini mbona kabla ya kukutana bwana harusi hakuwa vile)
Je amekumbuka juu ya ahadi yake ya kuolewa isiyotekelezeka?(kama ni hivi mbona kalia kwa bwana harusi tu, kwa nini chozi lake lisianzie kwa bi harusi kama ana wivu na kuolewa)
Je ameachika?( lakini kama kuachika angekuwa analia toka alikokuwa anakaa)
au ni yule ambaye nilisikia pilau la harusi liligeuka kuwa la msibA?(nikakumbika kama ni hivi basi angekuwa mwanaume)
mwisho niajiuliza au ni EX wake?( hapa ndipo nilihisi sana, yale machozi hapana, bi dada alilia na hakumpa mkono bi harusi hata kidogo, yawezekana lijamaa lilikuwa lilikuwa linamgegeda afu mwisho wa safari likamtosa maa lijamaa lilimzalisha huyu bi harusi afu likaendelea na hamsini zake mpaka walipomshauri kuwa kama kuowa amuowe mzazi mwenzie sasa hicho kipindi wakati yupo na hamsini zake huenda lilikuw linamgegeda huyo, yawezekana analia akiwa anafikiria ile nafasi ingekuwa yake)
Wanajamvi lile chozi lake lilinipa maswali na tafakari nyingi sana, kama huna kifua cha uvumilivu basi usiwe unahuzuria kwa harusi za EX zenu
 
Mh, kama ingekuwa yeye ndo kabwagwa sidhani kama angehudhuria
 
Atakuwa anamuonea huruma huyo kaka kaoa denu ana ngoma bila kujua
 
alilala na bwana harusi siku moja kabla ya harusi
 
Mh, kama ingekuwa yeye ndo kabwagwa sidhani kama angehudhuria

kuna wengine wana mioyo ya ujasili, yawezekana labda aliamua kujikaza akamuone mshindani wake aliyempiga knock out
 
----hata me nilikuepo aisee, nilishangaa sana kwa kweli----
----hebu wadau tumwagieni hizo assumptions hapa----
 
Pana sababu sio bure..unahudhuriaje sherehe while you are not comfortable? Kayataka mwenyewe,acha alie apunguze machungu
 
yawezekana alimpenda huyo jamaa siku nyingi ila kama ilivyo kawaida ya kina dada wengi hawasemi hisia zao sasa ndio bas
 
yawezekana asee, labda ndo alikuwa anamhangaikia kujitongozesha sasa juhudi zake kaona zimeshindikana

yawezekana alimpenda huyo jamaa siku nyingi ila kama ilivyo kawaida ya kina dada wengi hawasemi hisia zao sasa ndio bas
 
Wana MMU jana nilikuwa kwenye harusi ya ndugu yangu, kwa kweli kuna jambo lilitokea sasa nikiwa kama mtu mwenye akili timamu nimejiuliza maswali mengi sana.
Kuna mshiriki mmoja wa hii harusi alikuwa wakike, huyu dada wakati wa kwenda kutoa zawadi alipomfikia bwana harusi alipompa tu mkono alianza kutoa machozi, bahati mbaya hata leso alikuwa hana, aliondoka akijipangusa machozi kwa huruma sana.
Kutokana na kitendo hicho nikaanza kujiuliza maswali kwa nini kalia? Maswali niliyojiuliza ni:-
Je alipewa taarifa za msiba ghafla? (Lakini mbona kabla ya kukutana bwana harusi hakuwa vile)
Je amekumbuka juu ya ahadi yake ya kuolewa isiyotekelezeka?(kama ni hivi mbona kalia kwa bwana harusi tu, kwa nini chozi lake lisianzie kwa bi harusi kama ana wivu na kuolewa)
Je ameachika?( lakini kama kuachika angekuwa analia toka alikokuwa anakaa)
au ni yule ambaye nilisikia pilau la harusi liligeuka kuwa la msibA?(nikakumbika kama ni hivi basi angekuwa mwanaume)
mwisho niajiuliza au ni EX wake?( hapa ndipo nilihisi sana, yale machozi hapana, bi dada alilia na hakumpa mkono bi harusi hata kidogo, yawezekana lijamaa lilikuwa lilikuwa linamgegeda afu mwisho wa safari likamtosa maa lijamaa lilimzalisha huyu bi harusi afu likaendelea na hamsini zake mpaka walipomshauri kuwa kama kuowa amuowe mzazi mwenzie sasa hicho kipindi wakati yupo na hamsini zake huenda lilikuw linamgegeda huyo, yawezekana analia akiwa anafikiria ile nafasi ingekuwa yake)
Wanajamvi lile chozi lake lilinipa maswali na tafakari nyingi sana, kama huna kifua cha uvumilivu basi usiwe unahuzuria kwa harusi za EX zenu




Alimuonea huruma kujingiza kwenye mkenge.
 

alidanganywa ataolewa yeye
matokeo yake kaolewa mwingine
waoaji wenyewe hawapatikani,acha alie tu!!
 
Inawezekana pia baada ya kulipa alienda kujinyonga. Hebu fuatilia na utupe habari km kweli angali yu hai
 
Back
Top Bottom