mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 237
Hivi aliyekiimba ni jinsia gani vile?
rich mavoko
Nimeuliza jinsia mkuu
si mwanaume!!!!!!!!!
Naona kabla mjadala wa kwa nini wanawake wanaupenda ungeanza wa kwa nini huyu mwanaume aliimba
Just saying: Kama Mzee wetu Madiba na moyo wake wote wa kuwasamehe wale waliomfunga jela miaka 27 alishindwa kumsamehe Winnie kwa kuchapwa na dogo! Sidhani huo wimbo una ukweli wowote.
Dogo Rich Mavoko amekosea, ila nadhani ni umri tu, akikua ataelewa!
Kwani Kuna mtu anakuchapa?kuchapiwa ni siri ya ndani ukweli me nikiisikia roho yangu inasuuzika
Kwani Kuna mtu anakuchapa?
Hapana alimpenda sana winnie na hakutaka kumwacha ila ilibidi kwakuwa winnie alikuwa na skendo za mauaji na ukatili kwa waafrika wengine.
Pia chama kilimshinikiza kumuacha winnie asiwe first lady, mengine siri yake mimi na wewe hatujui....
Mhhhhh Kasinde if it was so nina uhakika wasauzi wasingekuwa wanamkubali Winnie aise.
We all know wakati Mzee yupo ndani Winnie alikuwa akimegwa na dogo wa miaka ishirini na kitu...inauma acha! Mavoko either ni shoga au ni utoto unamsumbua, akikua ataacha!!!