Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi huko Mkoani Kagera michango mingi sana imetolewa ya hali na mali, lkn kinachonishangaza waliotoa michango mingi ya mali kama fedha na vifaa vya ujenzi ambao wengi wao ni wageni kama Ofisi za Kibalozi, nchi jirani kama Uganda na Kenya hawalalamiki na wala hawajalalamika na kuhusu michango yao ilivyotumika na walisha move on!
Lkn watu ambao hawajatoa hata shilingi wala hata tu kujali maisha ya wana Kagera leo wanahoji matumizi ya misaada, watu ambao (chadema) kwanza walifurahia na kusherehekea kutokea kwa tetemeko na walikuwa wanasema Mungu kamuadhibu Raisi Magufuli, iweje leo hii wanajifanya ni wataalamu wa kuipangia Serikali jinsi ya kutumia misaada iliyotolewa na wasamalia wema ambao wao walisha-move on?